Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,857
Habari wadau,
Kwa masikitiko makubwa nawaletea taarifa ya maombi ya kurudishwa mwili wa kjjana Abel.R.Mwanga(jina la ukoo huenda sijalikopi sawaswa) aliefia huko India akiwa anapatiwa matibabu. Tangazo hili limetolewa ITV muda mfupi tu uliopita na mimi nikaona ni busara niwashirikishe wana-JamiiForums na watu wengine wanaopita hapa JF kama "guest".
Kwa mujibu wa Tangazo hilo,mwili wa marehemu pamoja na aliekuwa akimuuguza wamezuiliwa nchini India kutokana na deni la jumla ya shilingi milioni 35, hivyo baba mzazi wa marehemu,ndugu Revocatus anaomba msaada kutoka kwa wasamiria wema.
Ametoa namba za simu kwa ajili ya mawasiliano. Nimeweza kukopi namba moja tu kati ya tatu zilizotolewa ambayo ni 0713275740. Pamoja na namba hii,nakushauri uwasiliane na ITV kwanza ili ujiridhishe kabla hujafanya chochote hasa katika kuhakiki namba hiyo ingawa kwa asilimia 99 naamini nimeinakili sawa sawa kabisa.
NB:Serikali inahitajika kuanzisha mfuko maalumu wa kusaidia na kuhudumia wagonjwa wanaohitaji kupatiwa matibabu nje ya nchi ili kuondokana na taabu,shida na hali ya aina hii.
Ikibidi serikali ianzishe tozo(kodi maalumu) katika eneo lolote lile ili kuchangia mfuko huu kama tunavyotozwa kodi kuchangia usambazaji wa umeme vijijini, n.k.