USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
Familia ya Angelo Ngiyiye inamuomba Rais Samia Suluhu Hasani kusaidia kurejeshwa nchini kwa mwili mtanzania Angelo Nzigiye uliotelekezwa nchini India ukidaiwa 100M ili uanchiwe ili uletwe nchini na kuzikwa wilayani biharamulo mkoani Kagera na ndugu na wapendwa wake ?
Mzee Nzigiye alikuwa anasumbuliwa na salatani na kupelekwa India kupata matibabu ambapo kifo kilimkuta huko na familia kushindwa gharama za matibabu ambapo awali walidaiwa 165M na familia ikaweza kulipa 65 na kubakiza Deni la 100M .
CC
waziri Ummy Mwalimu
Waziri Dorothy Gwajima