Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

Mzee mwenzangu ameshindwa kuyadhibiti matamanio yake na nguvu ya nafsi......... matokeo yake anakwenda kuozea jela...........

Hakika ni mwisho mbaya kwake.......kuna umri ukifika unatakiwa tu upumzike na kuangalia dunia inavyoenda huku ukiwapa nasaha na njia vijana kwenye mambo ya maisha..........

Kuanzia miaka 50 na kuendelea sio umri wa kulazimisha maisha hasa katika njia za panya.......
 
Tugoogle sheria zinasemaje za Ethiopia.. na je wakimnyonga kuna uhusiano nao wa kubadoiishana Maitiiii??

nchi kwa nchi ama ndio wanazika waoo.. ndugu utakaeenda usisahau kuuliza haya mjiandae ...

uzuri mmoja Ethiopia hizi kesi hazina uhunwa njoo kesho muhairishooo never ukikanyaga wanaushaidi wanakurushia nondo hapoohapooo
 
Mzee mwenzangu ameshindwa kuyadhibiti matamanio yake na nguvu ya nafsi......... matokeo yake anakwenda kuozea jela...........

Hakika ni mwisho mbaya kwake.......kuna umri ukifika unatakiwa tu upumzike na kuangalia dunia inavyoenda huku ukiwapa nasaha na njia vijana kwenye mambo ya maisha..........

Kuanzia miaka 50 na kuendelea sio umri wa kulazimisha maisha hasa katika njia za panya.......
itakuwa labda ndio ulikuwa mzigo wake wa mwisho... ili achukue pension yake akale na wajukuu zake...!​
 
mkuu maisha hayajawahi kuwa RAHISI kabisa.... ila huyo tumchukulie sawa na mwanajeshi alie fia vitani...!​
Niwe mkweli tu huyo mzee kajichanganya
Tamaa za hivyo wengi ni vijana ila wazee huwa ni nadra sana
Sasa imagine akihukumiwa miaka 30
Unawaza pia kama utapita au utakamatwa yote yanawezekana
Bora angekuwa dereva wa V8 akabeba wakimbizi angezabwa makofi tu
 
A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport number TAE 266469.

The passenger was travelling from Sao Paulo ( GRU ) transiting at Bole International airport to Entebbe International Airport on Flight ET 5O7 and then on flight ET 334 to EBB and took the suspicious passenger to X ray where indicated Positive and on interrogation he admitted to have swallowed about Kg of Cocaine . The passenger is beeing held by Ethiopia police for discharge of the Pellets and further Investigation and Legal action .

Punda amekataa kustaafu kazi yake, mwenye mzazi wake aende rumande za Addis Ababa kumpelekea sabuni na maji

View attachment 2971479View attachment 2971480
Mzee nyokooo kg 1.34 ufike salama na umri huu maviiyakee
 
itakuwa labda ndio ulikuwa mzigo wake wa mwisho... ili achukue pension yake akale na wajukuu zake...!​
Ndugu iwe wa kwanza au wa mwisho lakini huo ni umri ambao unatakiwa uwe mbali na misuko suko na harakati za kiutafutaji zinazotumia nguvu.......huo ni umri ambao vipaumbele vyako vinatakiwa viwe familia na afya yako kwa maana kujitunza na kufurahia maisha kwa kile ambacho umejaaliwa..........

Huo ni umri ambao mwili na akili yako havihitaji mambo magumu magumu yanayotumia nguvu za mwili bali matumizi tu akili..........

Baada ya tukio hilo naamini mzee mwenzangu hana maisha marefu kutokana na sonona itakayopandisha sukari na presha........na anavyoonekana kwa mwili wake hayo maradhi hayapo mbali naye..........

Hata hivi sasa yeye mwenyewe akili yake na mwili wake vinamshuhudia kuwa AMEZINGUA PAKUBWA.........
 
Niwe mkweli tu huyo mzee kajichanganya
Tamaa za hivyo wengi ni vijana ila wazee huwa ni nadra sana
Sasa imagine akihukumiwa miaka 30
Unawaza pia kama utapita au utakamatwa yote yanawezekana
Bora angekuwa dereva wa V8 akabeba wakimbizi angezabwa makofi tu
sasa ndio tuna pata picha kuwa baadhi ya watu awaonekani wakienda kazini... ila wana nyumba nzuri na bill wanalipia za maana 🤣🤣🤣 kumbe wenzetu walisha jipata kwenye black market...!​
 
A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport number TAE 266469.

The passenger was travelling from Sao Paulo ( GRU ) transiting at Bole International airport to Entebbe International Airport on Flight ET 5O7 and then on flight ET 334 to EBB and took the suspicious passenger to X ray where indicated Positive and on interrogation he admitted to have swallowed about Kg of Cocaine . The passenger is beeing held by Ethiopia police for discharge of the Pellets and further Investigation and Legal action .

Punda amekataa kustaafu kazi yake, mwenye mzazi wake aende rumande za Addis Ababa kumpelekea sabuni na maji

View attachment 2971479View attachment 2971480
ZAMANI PALEE AIRPORT WAKIKUHISI TU UNAINGIXWA CHUMBA MOJA YA MAJERAHAA UNAPEWA UJI MOTOOO PAMBAVU UKISURVIVE DK 10 UJAENDA CHOON KUZITOA UNAFIA HUKOO
 
Ndugu iwe wa kwanza au wa mwisho lakini huo ni umri ambao unatakiwa uwe mbali na misuko suko na harakati za kiutafutaji zinazotumia nguvu.......huo ni umri ambao vipaumbele vyako vinatakiwa viwe familia na afya yako kwa maana kujitunza na kufurahia maisha kwa kile ambacho umejaaliwa..........

Huo ni umri ambao mwili na akili yako havihitaji mambo magumu magumu yanayotumia nguvu za mwili bali matumizi tu akili..........

Baada ya tukio hilo naamini mzee mwenzangu hana maisha marefu kutokana na sonona itakayopandisha sukari na presha........na anavyoonekana kwa mwili wake hayo maradhi hayapo mbali naye..........

Hata hivi sasa yeye mwenyewe akili yake na mwili wake vinamshuhudia kuwa AMEZINGUA PAKUBWA.........
Mpwaaa waleee wafanyakazi wa ndege wenge 60 plus unawaoanagaa??wakati mwingjne wanachangja ndege kudondoka zipaatikanee ajira...kazikazi mkuu
 
Ndugu iwe wa kwanza au wa mwisho lakini huo ni umri ambao unatakiwa uwe mbali na misuko suko na harakati za kiutafutaji zinazotumia nguvu.......huo ni umri ambao vipaumbele vyako vinatakiwa viwe familia na afya yako kwa maana kujitunza na kufurahia maisha kwa kile ambacho umejaaliwa..........

Huo ni umri ambao mwili na akili yako havihitaji mambo magumu magumu yanayotumia nguvu za mwili bali matumizi tu akili..........

Baada ya tukio hilo naamini mzee mwenzangu hana maisha marefu kutokana na sonona itakayopandisha sukari na presha........na anavyoonekana kwa mwili wake hayo maradhi hayapo mbali naye..........

Hata hivi sasa yeye mwenyewe akili yake na mwili wake vinamshuhudia kuwa AMEZINGUA PAKUBWA.........
tunaisaidiaje sasa... kama jamii yetu inawakataa watu mpaka wanalelewa na mtaa, huko mitaa wana pambana na ukatili wa kimazingira, Baridi, mbu na jua vina uralua vibaya miili yao...!

mwisho wa siku mtu anajikuta ameingia mikononi mwa nunda kwenye black market 😭😭😭 kwakweli dunia ni tamu kwa walio kuta kila kitu kipo mezani... ila ni chungu sana kwa walio anza na 0...!

huna kitu, huna wa kukusaidia kitu pekee kilicho kupokea ni mtaa na watoto wenzako wa mtaani... utafanya nini...?​
 
Back
Top Bottom