Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Nimejaribu kupitia one of magazetiz online nikakuta Mtanzania Daima ikikohoa. Inawezekana Webmaster wao sijui kasinzia, kaweka story ya sijui miaka mingapi iliyopita. Nawashauri kuwa waangalifu wanapokuwa wanaposti stori zao.