Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,536
Yule kijana mtanzania Charles Mihayo,35 aishie Australia aliyekamatwa kwa tuhuma za Kuwauwa mabinti zake wawili,hatimaye amehukumiwa kifungo cha maisha nchini humo.Habari ililetwa hapa kwa mara ya kwanza mwezi April..
[h=3]Charles Mihayo charged over death of two girls in Watsonia, Victoria[/h] Started by ngoshwe, 21st April 2014 19:56

[h=1]Charles Mihayo jailed for life with non-parole of 31 years for killing his two young daughters [/h]


RIP GIRLS...
article-0-20B4238900000578-900_634x726.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mtanzania aliyeua watoto wake ahukumiwa
 

Attachments

  • 1418926673568.jpg
    1418926673568.jpg
    118.3 KB · Views: 4,588
Si shaka alichizi huyu.ni ngumu sana kufanya hayo eti kisa mwanamke
 
Huyu jamaa sijui ni kitu gani kilimpata hadi kufanya alichofanya,inasikitisha...
 
Inaoneka huyu kijana alikuwa ananyanyaswa na huyu mwanamke saana,alikuwa na kisasi cha muda mrefiNadhani akil yake haiko sawa
 
Afungwe tu,alifanya kitu cha ajabu sana
 
Apo ndio utaamin sisi binadam waajabu kama wanyama wa polini mtu anauwa watoto wake wazuri ivyo???
 
Back
Top Bottom