Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Hiyo sio hoja kwani amelelewa na Sister Jean Pruitt, na anafadhiliwa na Amy Canady mbona siwaoni akina .........kama kweli mnapenda maendeleo ya dogoWatanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
....siyo hoja: inategemea taarifa zimefika au zimepatikana muda gani, HONGERA HAMISI.Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Tena niandike kwa herufi kubwa kusisitiza, HONGERA HAMISI KONDOMpe hongera basi.
Watanzania hata kumpa hongera huyu kijana? Duh. Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Hivi ndugu, unafahamu madhara ya hicho unachokifanya humu?Au kwa kuwa anaitwa Hamisi?
Of course siyo sababu hiyo lakini nilipoona watu wanaipita nyuzi na wanaona kama hastahiki inabidi niulize sababu.
Hukuuliza sababu , umetoa umefikiria kwa niaba ya wachangiaji. Kijana huyu yupo zaidi ya wiki tangu amekuja na mambo yake yalionekana wazi kwenye Tv na bado hujasoma mitandao mingine kama fb kuona kama hawajamkubali. Binafsi nahisi labda watu hawapendi uzi zako hapa Jf wameona zina mapungufu