Unajua sie wengine tumefunga,laiti kama mie ningekuwa moderator ningekufungia kwa kosa la kuwafuturisha wenzio.Lakini..............huyo binti... mie chichemi

Sidhani kama amewahi kuwa raia wa Tanzania. Hivi kuwa na damu ya mtanzania inakufanya mtanzania? Na mtanzania ni nani? Hivi mtanzania mwenye asili ya India akizaa na mhindi raia wa India uhindini huyo mtoto atakuwa mtanzania?

Kwani kila aliyezaliwa Tanzania ni mtanzania? Kuna waziri mmoja huko Nordic countries alizaliwa Tanzania, Arusha kama sikosei. Naye ni mtanzania? Mbona wajukuu wa wahindi waliozaliwa Tanzania bado tunakataa kuwatambua kama watanzania?
Au ni kila mwenye damu ya mtanzania ni mtanzania? Je mtoto aliyezaliwa na wazazi watanzania akawa adopted na raia wa nchi nyingine na akalelewa huko, bado tutamuita mtanzania? Obama ni mkenya?