Mtanzania awa Playboy's Playmate of the Month for March 2008

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
183
Kazi kwenu maconservative na mabachelor.
Naye anapeperusha bendera ya Tanzania au Sweden?
116qqth.jpg

2s0mr0k.jpg

Source Teddy Kalonga Blog
 
Unajua sie wengine tumefunga,laiti kama mie ningekuwa moderator ningekufungia kwa kosa la kuwafuturisha wenzio.Lakini..............huyo binti... mie chichemi
 
Kwa kweli huyo dada sasa hivi ni raia wa Sweden ila ana damu ya kitanzania. Ana mvuto unaoweza kumtoa joka pangoni.
 
Sidhani kama amewahi kuwa raia wa Tanzania. Hivi kuwa na damu ya mtanzania inakufanya mtanzania? Na mtanzania ni nani? Hivi mtanzania mwenye asili ya India akizaa na mhindi raia wa India uhindini huyo mtoto atakuwa mtanzania?
 
Unajua sie wengine tumefunga,laiti kama mie ningekuwa moderator ningekufungia kwa kosa la kuwafuturisha wenzio.Lakini..............huyo binti... mie chichemi

Angalia hii thread ilianzishwa lini.....Ebo!!!!

Sidhani kama amewahi kuwa raia wa Tanzania. Hivi kuwa na damu ya mtanzania inakufanya mtanzania? Na mtanzania ni nani? Hivi mtanzania mwenye asili ya India akizaa na mhindi raia wa India uhindini huyo mtoto atakuwa mtanzania?

Huyu msichana alizaliwa Tanzania ila akakulia Sweden.
 
Angalia hii thread ilianzishwa lini.....Ebo!!!!

Huyu msichana alizaliwa Tanzania ila akakulia Sweden.

Kwani kila aliyezaliwa Tanzania ni mtanzania? Kuna waziri mmoja huko Nordic countries alizaliwa Tanzania, Arusha kama sikosei. Naye ni mtanzania? Mbona wajukuu wa wahindi waliozaliwa Tanzania bado tunakataa kuwatambua kama watanzania?

Au ni kila mwenye damu ya mtanzania ni mtanzania? Je mtoto aliyezaliwa na wazazi watanzania akawa adopted na raia wa nchi nyingine na akalelewa huko, bado tutamuita mtanzania? Obama ni mkenya?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom