Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali ya hewa.
Satellite hiyo imefanyiwa majaribio katika mikoa kadhaa na kutoa matokeo chanya.
Introduction The vast expanse of space has always captivated human imagination, and our ability to explore and communicate across the globe has been greatly enhanced by satellites orbiting above us. These satellites serve various purposes, from weather monitoring to communication and navigation...
Ila sijuwi kama watanzania watamuelewa na kumpa airtime
Watanzania wee waambie wakuna doto magari,mwijaku,baba level,konde,monde,zchu,mandonga hao ndy role model zao
Kaleteni taarifa za kutosha na video ni muhimu pia. Na ikiwezekana atangazwe hadi kwenye taarifa ya habari.
Mlikosea kitu kimoja, siku ya kuzindua hiyo satelite mlitakiwa mrushe tukio laivu ili kuhamasisha wanasayansi wa ndani.
Swali kwenu wataalamu!
1. Je, hiyo satelite imerushwa kwa kutumia mtambo gani?
2. Je, hiyo satelite imerushwa humu humu Tanzania?
Au satelite huwa inarushwa kama drone tu?
Majibu ya kitaalamu tafadhali, sisi ambao hatujui tujue kabla ya kutoa pongezi mana bongo kwa sasa tunachezeana sana. Badala ya kuwa siriasi tunaleta utani huku vitu vizuri tunavitaka. Rejea gari la UDSM na Robot Yunisi