luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,918
Comments reservedHongera akusanye na taarifa za uchaguzi
Kumbe ni receiving station.Haya kwa wanaotaka kufanya hii kama project ya chuo
Hata hizo za azam ujue juu pia imerushwa angani ile umayoiona chini ni receiver tu unapokea mawimbj kutoka anganiNi zile satellite za kurusha angani ama ni zile kama dish la azam tv zinakaa chini kupokea taarifa.
Azam kuna kampuni ya satellite wanailipia.Hata hizo za azam ujue juu pia imerushwa angani ile umayoiona chini ni receiver tu unapokea mawimbj kutoka angani
Kweli ateuliwe wizara ya science and Technology!!Vijana kama hao ndio wanapaswa kukaa wizara husika.
Atafanya maajabu sana.Kweli ateuliwe wizara ya science and Technology!!
Exactly...azam wamepewa frequency flani kwenye band ya satellite wanatumia kupitisha transmission zaoAzam kuna kampuni ya satellite wanailipia.
Ndio maana nlikuwa nashangaa kama amerusha hizo satellite kwenye low orbit, lakini kongole kwake kazi nzuri sana. Inapaswa waendelezwe zaidi.
Hongera kwake na asaidiwe aendeleze kipaji chake.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali ya hewa.
Satellite hiyo imefanyiwa majaribio katika mikoa kadhaa na kutoa matokeo chanya.
Kongole Engineer Léonard Shayo
Chanzo: Azam news
KwakweliSafi sana,habari njema hii
Ila sijuwi kama watanzania watamuelewa na kumpa airtime
Watanzania wee waambie wakuna doto magari,mwijaku,baba level,konde,monde,zchu,mandonga hao ndy role model zao
Ova
Za anganiNi zile satellite za kurusha angani ama ni zile kama dish la azam tv zinakaa chini kupokea taarifa.