Mtanzania apata mabilioni, Auza mfumo wa kununua Gesi kadri unavyotumia

Hakuna sababu ya kushikilia Teknolojia ambayo inapunguza matumizi ya Mkaa kwa sababu tu umeigundua. Nimeamua kuiuza Teknolojia hiyo kwa watu wenye fedha ili waisambaze Afrika" alisema Mendes wakati wa hafla ya mauziano ya Teknolojia hiyo iliyofanyika jijini Nairibi nchini Kenya.
Huyu ni kama yule mwingine wa juzijuzi Uingereza?
 
Mtanzania Andron Mendes ameuza mfumo wa mita ya kulipia ya kulipia gesi ya kupikia kadri unavyotumia (PAYG) kwa Kampuni ya Circle gas ya Uingereza kwa Sh.57.6 bilioni ili isambazwe kwa nchi za Afrika.

"Hakuna sababu ya kushikilia Teknolojia ambayo inapunguza matumizi ya Mkaa kwa sababu tu umeigundua. Nimeamua kuiuza Teknolojia hiyo kwa watu wenye fedha ili waisambaze Afrika" alisema Mendes wakati wa hafla ya mauziano ya Teknolojia hiyo iliyofanyika jijini Nairibi nchini Kenya.

View attachment 1325554

=====
Hivi MaxCom waliishia wapi😂
 
Back
Top Bottom