tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,186
Naskia jiwe amepata kodi ya mabilioni kwenye hiyo biasharaAlafu BAVICHA wanashinda mitandaoni kulilia ajira, MPUMBAVU!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia jiwe amepata kodi ya mabilioni kwenye hiyo biasharaAlafu BAVICHA wanashinda mitandaoni kulilia ajira, MPUMBAVU!
Wengine tunahangaika na namba za nida wengine wanapiga hela, sheeet
Amegundua au amevumbua?. Huyu alichogundua ni Mita,
Hahaha!! Yaani unazaliwa kijijini, unakulia kijijini wenye kijijini chao wanakuzingua; unaenda mjini kunolewa kitaaluma; unarudi kuwatibu malaria n.k, na wanakusalimia.Inawezekana alipoupeleka kwenye wizara zetu wakamchanganya na zile mbwembwe zao za mara lete vibari vya tume ya sayansi, vya brela, n.k
Na labda wataalam walibaini kuzibiwa mirija, labda walitoa ofa kiduchu. Ngoja Sasa iuzwe nje halafu iletwe Tz ilikozaliwa
Ajira ni HAKI ya kila Mtanzania.Alafu BAVICHA wanashinda mitandaoni kulilia ajira, MPUMBAVU!
😃😃😃😃Kwahiyo kutakuwa na mabomba ya gesi. Mtz mwingine avumbue mtungi ambao unaweza kuangalia salio la gesi ili tuondokane na adha ya gesi kukatika gafla.
Sent using Jamii Forums mobile app
zipo hizo mita za kujua unasalio kiasi gani kwenye mtungi wakoKwahiyo kutakuwa na mabomba ya gesi. Mtz mwingine avumbue mtungi ambao unaweza kuangalia salio la gesi ili tuondokane na adha ya gesi kukatika gafla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkuu, kodi ipo palepale, mtanzania kodi yake inatozwa kwenye mapato anayoyapata popote duniani, labda kama kuna makubaliano ya DTA na nchi hiyoJamaa kawakimbia TRA, maana wanaweza kumshtaki kwa uhujumu uchumi na money laundering..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ipoo. Just google au ingia ebay au aliexpess ununue tena ni dola moja tu per stiker ya mtungi mmoja.Kwahiyo kutakuwa na mabomba ya gesi. Mtz mwingine avumbue mtungi ambao unaweza kuangalia salio la gesi ili tuondokane na adha ya gesi kukatika gafla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kuna "geji" zipo zinauzwa siku nyingi tu, unaifunga pale juu katika mdomo wa mtungi gesi inapokuwa ikitolewa kwenda kwa jiko lakoKwahiyo kutakuwa na mabomba ya gesi. Mtz mwingine avumbue mtungi ambao unaweza kuangalia salio la gesi ili tuondokane na adha ya gesi kukatika gafla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchini angekamatwa na kusoteshwa Selo kwa kosa la kubuni bila kuwa na kibali!....The history inaishi!!Mtanzania, anauzia UK mfumo wa kuja kutusambazia waafrika gesi, tena wanakabidhiana pesa Nairobi, mimi naona ni kama aibu kwa nchi yetu.
Daah jamaa kapata pesa kaanza umafia.
Mbona zipo regureta zenye mita ya kuonesha ujazo zinauzwa mitaani.Kwahiyo kutakuwa na mabomba ya gesi. Mtz mwingine avumbue mtungi ambao unaweza kuangalia salio la gesi ili tuondokane na adha ya gesi kukatika gafla.
Sent using Jamii Forums mobile app