Mtanzania Anayeishi Spain

Holla !! Umenikumbusha mbali sana Mkuu,
Spain nimefunga miji mitatu,Valencia,Barcelona na Algeciras. Kuna wanawake wazuri sana,kuna club tulienda Algeciras basi mwanamke kulala nae nusu saa tu $300..Barcelona kuna vibaka hatari wale wa kuchomoa na kukimbia.
 
Hongera Mkuuu kupiga kitabu Ng'ambo, wengne tumetafuta hizo fursa zimegoma. Hope kupitia hili jukwaa utapata wadau. Vip level ya Ubaguzi ikoje huko maaana naskia jamaa watata sana.
 
Hongera Mkuuu kupiga kitabu Ng'ambo, wengne tumetafuta hizo fursa zimegoma. Hope kupitia hili jukwaa utapata wadau. Vip level ya Ubaguzi ikoje huko maaana naskia jamaa watata sana.
Mkuu nisiwe muongo, mimi personally haijawahi nitokea but na mimi nasikia tu. Kuna wakenya walinambia walipata tabu kupata room kwasabu ni mablacks.
 
Mkuu ulikaa how long? ahhaahaha,, watoto wapo ila hiyo walikupiga sana,, maana kuna wa hapa nje ya camp nou, BJ euro 10 showtime Euro 30,, ahahah wanasumbua sana kama wa Buguruni pale,,, maana napita kila siku usiku nikitoka xcul.
 
Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo
Unatafuta wenzako JF iliyojaa majina fake mjadala fake kila kitu fake km wachina Nenda ubalozini utawapata Hapa unakutana fake [emoji809] fake
 
Mkuu ulikaa how long? ahhaahaha,, watoto wapo ila hiyo walikupiga sana,, maana kuna wa hapa nje ya camp nou, BJ euro 10 showtime Euro 30,, ahahah wanasumbua sana kama wa Buguruni pale,,, maana napita kila siku usiku nikitoka xcul.
upo muda gani huko?
 
Just nalinda privacy yangu,ila ningekuonesha hapo club kulivyo,wanawake wa huko hata English hawajui.Walituona wamarekani weusi kumbe wabongo tu.

Ndo maana natafuta wabongo mkuu,, maana huku language ni barrier kinoma,, hata ukijifunza kispain bado kuna wengine hawajui hicho kispain wanajua kicatalan tu.
 
Huko wakikamata mwizi awawachomi moto kama huku kwetu uswaz
 
Huko wakikamata mwizi awawachomi moto kama huku kwetu uswaz
hahaha thubutu,kuchoma moto huku Africa tu...haha nafikiria negro akimkimbiza mzungu mwizi..Na sijui utamuonea wapi maana baadhi ya mitaa kuna vichochoro hatari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…