Ni kweli yupo kule namfahamu mmoja jamaa yangu, tena ameenda akiwa na degree kabisaWakuu,kuna mtu kanidokeza eti kuna jamaa mmoja ambae ni mtanzania ni askari mwenye cheo cha luten general yuko kwenye jeshi la marekani.
Kuna mwenye data za huyu jamaa?
Mbona kawaida! Namfahamu mmoja yuko jeshi la Uingereza ni rubani! Anashiriki sana hizo mission za Mashariki ya kati! Kwa sababu kadhaa siwezi kuexpose details zake hapa!Wakuu,kuna mtu kanidokeza eti kuna jamaa mmoja ambae ni mtanzania ni askari mwenye cheo cha luten general yuko kwenye jeshi la marekani.
Kuna mwenye data za huyu jamaa?
duh kama anatokea Kilimanjaro vile akina ngowi
duh kama anatokea Kilimanjaro vile akina ngowi
Umesema sahih kabsaFuta hii thread uta blow cover za ma agent wetu
Umbeya Mbeya