Mtanzania adakwa na mihadarati China

Mtanzania adakwa na mihadarati China

ukweli ni kwamba kuna wageni wanauziwa pass zetu. kwa nini mtaani unakuta wanaigeria kumi wanakaa chumba kimoja na wanajifunza kiswahili cha kuondokea bongo pale uwanja wa ndege, na kuna ma agent ambao wanawatunza muda huo wote baada ya kukatiwa kitu kidogo. kazi ipo na wakuu wanaelewa mpango mzima ndiyo hivyo tena.
 
sasa wakinyongwa hawa punda ,Tutawajua kweli Vingunge wao?
 
Bandugu,

Hivi hawa wote wanaokamatwa ni wabongo(watanzania?) au pasi zetu za kusafiria zimekuwa compromised?
 
Wajinga wataendelea kudabwa wakati wenye mzigo wameketi maofsini.
 
tunakoelekea itakua hivi,raia yeyote wa tanzania kuingia nchi nyingine lazima afanyiwe ukaguzi maalum au akataliwe kabisa kuingia nchini humo.
WENYE DHAMANA WAPO WAPI KUPIGANA NA HILI ?
 
tunakoelekea itakua hivi,raia yeyote wa tanzania kuingia nchi nyingine lazima afanyiwe ukaguzi maalum au akataliwe kabisa kuingia nchini humo.
WENYE DHAMANA WAPO WAPI KUPIGANA NA HILI ?
wako busy kuiua chadema
 
Kwa mwenendo huu, watanzania tutatengewa milango maalum ya kupita airport zote duniani. hali ni mbaya!
 
Watzanzania watakamatwa sana kwani wengi wao hawana ujanja wa maisha wamezoea maisha ya kukariri, mmoja akifungua biashara ya mahindi ikamlipa basi wote wanahamia huko.KItakachowasumbua watz ni ukondoo wao wtakamatwa kama kuku unless waachane nayo.Huwezi mlinganisha mtanzania na senegales, nigeria kenyan.Hawana ujanja.Kazi mnayo


Mkuu yawezekana wadau wa hii biashara wamedhulumiana, wameamua kuchomana maana hii biashara haina kufikishana mahakamani.
 
duh... wanyongwe tu!
Hawawezi kunyongwa. Mh rais kasaini mkataba juzi na waziri mkuu wa Thailand. Watarudishwa nchini na kupewa msamaha wa rais kwani familia zao zimeteseka sana baada ya kukamatwa kwao.
 
Hawawezi kunyongwa. Mh rais kasaini mkataba juzi na waziri mkuu wa Thailand. Watarudishwa nchini na kupewa msamaha wa rais kwani familia zao zimeteseka sana baada ya kukamatwa kwao.

kwa hiyo waendelee kufanya uhalifu....?
 
sifa mbaya kwa taifa letu...polis wetu wao kazi yao kudl na chadema
 
Soma vizuri...."Taarifa zaidi zilisema kuwa mtuhumiwa huyo awali alipanda ndege kwenda Ethiopia kisha akaenda Thailand mahali alipomeza dawa hizo na baadaye akapanda ndege hadi kisiwa cha Macau ili kuelekea Guangzhou mahali ambapo alitarajiwa kuonana na mchora mpango wa sakata hilo."

Ingawa Unaweza kuwa na point naona maelezo ya kwenye link na ya kiswahili yanatofautiana kidogo
kumbe kayamezea Thailand,basi hiyo itakuwa ni international syndicate,
 
Mimi naomba at least wizara ya mambo ya nchi za nje iwe inatoa list ya picha za watanzania waliofungwa na majina yao huko nchi za wenzetu kwenye mafgazeti yetu at least kila baada ya miezi mitatu ili watu wengi wajue madhara ya kuwa punda.
 
Macau imekuwa Thailand? jaribu kuipitia habari yako mkuu ili tujue alikamatwa Thailand au Macau?
 
Back
Top Bottom