Chura wa kichina amemsaidia kukuza muonekano wake!
Aisee naye huyu kawa kama Gigy MachupiAiseee naona ushindani mkali siku hizi,huyu atakua anachuana na Diva wa Clouds
anatafuta pesa bana maisha magumuAiseee naona ushindani mkali siku hizi,huyu atakua anachuana na Diva wa Clouds
View attachment 419502
Hilo hata le mutuz anavaaAhaaaaa....hiyo bukta au jichupiiii. ....duu kubwa sana aisee....unaweza kujifunika. Na chura hiyo alevishwa huo mchupi yumo au ndio hao wa kichina
NtwaraHiyo chupi ilipita bandari ya dar au mtwara?
Wanaume buana! Mtu kavaa nguo yake naye hajui ilivomkaa wewe wasema anatangaza.Ukiondoa wale wanaojipanga barabarani usiku, wanawake wengi hatuko hivyo.Biashara ni matangazo.
Mi napendaga wadada waendelee kuvaa hiviAiseee naona ushindani mkali siku hizi,huyu atakua anachuana na Diva wa Clouds
View attachment 419502