Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Wewe mwenyewe kanjanja tu utamsaidiaje mwenzio kuajiliwa nje?Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.
Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.
Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.
Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.
Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kudhidi kumchafua akidhani anamsaidia. Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.
Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.
Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.
Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.
Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira
Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,
Wewe mwenyewe kanjanja tu utamsaidiaje mwenzio kuajiliwa nje?
Unadhani una uwezo huo? Hebu acha vituko!
Kumbe ITV nao ni wakora?Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.
Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.
Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.
Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.
Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kudhidi kumchafua akidhani anamsaidia. Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.
Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.
Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.
Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.
Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira
Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,
It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka
Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira
unamfahamu?.Wewe mwenyewe kanjanja tu utamsaidiaje mwenzio kuajiliwa nje?
Unadhani una uwezo huo? Hebu acha vituko!
Na bado nyuma yao kuna chui anawakuna kwa upole huku anatoa ukucha kidogo kuwakumbushia kwamba anaweza kuwaparua muda wowote🐅🐯It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.
P
Huku tunapoendelea wananchi watajikuta wanakero hawana pakusemea. Rais anatakiwa aachie uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa wananchi kuzungumza kero zao. Akiendelea kuwakumbatia hao Tiss n.k wanamdanganya tu nchi inaharibika. Wapiga kura ni hao hao wananchiMabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.
Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.
Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.
Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.
Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kudhidi kumchafua akidhani anamsaidia. Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.
Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.
Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.
Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.
Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira
Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,
Mzee Mayalla, nasikia hata marehemu Rehema Mwakangale alikuwa anapiga deiwaka kama kondakta wa daladala pale ITV.It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.
P
ITV hii hii, Baada ya Kifo cha Mzee na yenyewe pia inakaribia Kufa..!
Naomba nisiende kwa specifics, ila ni media zote Tanzania with the exception of TBC, most of their correspondents wao ni deiwakas.Mzee Mayalla, nasikia hata marehemu Rehema Mwakangale alikuwa anapiga deiwaka kama kondakta wa daladala pale ITV.