Mtangazaji wa ITV Farhia Middle mwenye number yake!

Farhia hyu ananikuna balaaaa,kumbeñ weng waga tunawaza eee mwenyewe hnina zawadi yake et, napenda anavyo tangaza ama hakika anatangaza uzur balaaa!!!halafu anatabasum mhuuu,angalia hasa wakat anakaribishwa kusoma habar za biashara duuu!!
 
Pole sana mkuu, yaani umetoa maelezo hadi umeeleweka vizuri sana, kama ni vipi mtokee tu ili kama ni jipu lipasuke kuliko kuliacha na usaa linakutesa bure.
 
FARHIA2.JPG

DSC04455.JPG

FARHIA1.jpg
 
Back
Top Bottom