Mtangazaji wa BBC John Ngahyoma is no more

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Jamani,

Nasikia amefariki asubuhi ya leo.

Chanzo:
Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni leo tarehe 30 Desemba 2011.
 
Kwa kweli imenisikitisha sana. Jana ilikuwa mwanahabari maarufu Halima Mchuka na leo John Ngahyoma. Namwomba Mungu awafariji wafiwa na hasa ndugu wa karibu na marehemu.
 
..very sad indeed.

..majuzi tu nimeona picha ya mama yake kule michuzi blog.

..r.i.p John Ngahyoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom