Mtangazaji Shafii Dauda vs Msemaji wa Simba, Haji Manara

Nimeyaleta Mjue jinsi hao wenye majina yao walivyo Mambumbu kwa kucheza na akili za watu. 🙈 🙈🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Na wanatupata haswaaa! Yaani nimecheka sana wanavyotuendesha kama wameshika remote wanabadilisha channel tu
 
Watanzania wengi bado hatujui mpira na ustaarabu wake....shafih ni mchambuzi...panapo ukweli anasema mbona mara nyingi huwa anaisifia simba na anaikosoa yanga...ila tatizo la wabongo wengi ni ushabiki maandazi...na hawataki kukosolewa...mfano manara ni mshamba sana huyu bwege...maswala ya mpira analeta habari za kujua kingereza, mara kuishi mjini huo ni upumbavu....chukua maoni ya wachambuzi yafanyieni kazi
 
Manara anajipataga yeye ndio msemaji pekee kuwahi kutokea duniani hata mbinguni, ukimkosoa yeye au timu yake anasema unamuonea wivu, hajui kujenga hoja anachofanya ni kubwabwaja hadi matusi ya nguoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom