Shaffii ni Simba Og ila anachukizwa na umbumbumbu wa walio wengi mkiongozwa na Mzungu fake wenu.Yanga wanamkana Dauda toka lini amekuwa Simba?
Kama ni kukosa uongozi kwani ni Shaffi pekee aliyekosa? Huenda kuna lingine ila wanatumia Simba kama kivuli cha kuendesha bifu.Shaffi si Yanga cos ameshajaribu kugombea nafasi kadhaa ndani ya Simba, na hata Manara huwa anamponda kuwa kukosa uongozi Simba ndo sababu ya kuiponda
Manala ndo dongo lake la siku zote kwa Shaffi,Hajji anaitumia Simba kujiongezea umaarufu cos 2020 anataka kugombea ubunge jimbo fulani via CCMKama ni kukosa uongozi kwani ni Shaffi pekee aliyekosa? Huenda kuna lingine ila wanatumia Simba kama kivuli cha kuendesha bifu.
Ina maana wachezaji hawapati ushauri wa kisaikolojia kutoka ndani ya dawati lake la ufundi? Na kama ni hivyo, kuna uhakika gani kwamba mipasho hiyo ya Manara na Shafii inawafikia wachezaji na kufanya kazi ya ushauri unaotakiwa?kusema underdog na kuikubali hali husika ni kuwa vunjà mrali wachezaji... na manara kama sehemu ya uongozi hawezi ruhusu hilo kwa timu yake...
ana tumia nguvu nyingi kusema ana weza hata kama hawezi, yeye ni muhamasishaji mzuri...
ni kama mzazi na mwanae, huwezi mwambia mwanao kichwa box au utafeli mitihani ni migumu na wewe nikilaza...
hivyo Manara yupo sahihi kwa hilo... simba sio underdog ni timu kubwa yenye kuweza kutoa ushindani...
kama swala ni hilo basi shaffih kachemka...!
Tatizo wote wale WajivuniKuna vita inaendelea kwenye social media kati ya watu wawili anbao wanajulikana ni wana Msimbazi kinda kindakindaki.
Kila kijembe cha Dauda kinajibiwa kwa kuikasfu Yanga ambayo haina uhusiano na ugomvi wao.
Kila kombora la Shafii linajibiwa kwa kuikejeli Yanga. Vyema Haji akajua namna ya kupigana vita yake.
Au Shafii anaiwakilisha Yanga kwenye ugomvi wao? Kwenye vita, kwanza mjue adui yako.
Na zani una jua au fahamu kuwa manara ni mhamasishaji... kuhamasisha kwake kuna leta morali kiushindani kwa washabiki na wachezaji wasijisikie wanyonge...Ina maana wachezaji hawapati ushauri wa kisaikolojia kutoka ndani ya dawati lake la ufundi? Na kama ni hivyo, kuna uhakika gani kwamba mipasho hiyo ya Manara na Shafii inawafikia wachezaji na kufanya kazi ya ushauri unaotakiwa?
Si zani kama ni lazima... hapo kuna IT department na hili hapo kabla kulikuwa na kampuni ya wale wahaya kama sikosei ndio ilikuwa ikifanya hizo kazi za kumanage website ya timu ya simba, ni mpaka sasa kama bado wana mkataba...Hatua ya Simba kuwa kampuni bila shaka ni ya maendeleo.
Je ile dhana ya msemaji wa club kama ilivyokuwa zamani bado ina nafasi kwenye kampuni? Nadahni kampuni hata club nyingine kubwa zinatakiwa kuwa na Afisa Habari mwenye taaluma ya IT ambaye kazi yake kubwa ni kumanage vitu kama tovuti ya club.
Na huu ndio ukweliShaffii ni Simba Og ila anachukizwa na umbumbumbu wa walio wengi mkiongozwa na Mzungu fake wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app