Mtangazaji Farhia Middle wa Radio One: Wanawake ambao hawapendi kuwa na Mahusiano ( date ) na Wazee hawana Akili kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Akizungumza katika Kipindi Kizuri, Kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi, Mrembo kupita Wanawake Watangazaji wote wa Television nchini Tanzania Farhia Middle ametupa Dongo la aina yake kwa Wanawake wote kuwa kama hawapendi kuwa na Mahusiano ( Date ) Wazee na Kuachana na Vijana basi wajijue kuwa hawana Ubongo ( yaani hawana Akili ) kabisa.

Aliyasema haya muda wa Saa 2 na dakika 20 leo Asubuhi ya tarehe 20 Machi, 2022 akiwa anamjibu Mtangazaji Pacha wake Abubakary Sadick pamoja na Mtangazaji Mgeni Mwalikwa Julieth Robert huku Mgeni mwingine Rubein nae akiwa anachomekea zake hapa na pale.

Farhia Middle kaupiga mwingi mno tu.
 
Nadhani anazungumzia wakina Ole Sendeka...
 
Back
Top Bottom