Washa vpnNa Facebook nayo imeliwa kichwa
Chrome jau sana , mi niko braveMuda wote browser yangu ya Edge nikifungua inakuwa connected na VPN automatic.
Chrome ndio nilikuwa naitumia kutestia server kama ziko down
Ujinga unazidiViongozi wa Tanzania ndio wanaovuruga amani ya nchi, kwa madadu yao wanayotenda katika nchi hii.