Mtandao wa TTCL umesambaa nchi nzima?

Mtandao wa TTCL umesambaa nchi nzima?

B
Vipi Moshi town unapatikana huo mtandao wa TTCL?
Unapatikana mkuu. Nmetumia ttcl moshi ofisi zao ziko hapo karibu na roundabout ya KNCU kama unaenda stendi mkono wa kulia.
Iko poa sana kama unayo ya chuo ndo funga kazi
 
wadau ninaomba kuuliza,hivi ttcl mtandao wao wa internet unapatikana nchi nzima au ni dar tu! maana wanasema rudi nyumbani kumenoka sasa kumenoga dar au nchi nzima!
Wanapatikana maeneo mengi, wanashirikiana na tiGO kwenye minara ya kurushia signal, ina maana walipo tigo nao wapo!
 
Wanapatikana maeneo mengi, wanashirikiana na tiGO kwenye minara ya kurushia signal, ina maana walipo tigo nao wapo!
Tigo wenyewe si wale wale tu upande wa vijijini?

ile minara ya smart imeishia wapi? kwanini wasitumie ile?
 
Tigo wenyewe si wale wale tu upande wa vijijini?

ile minara ya smart imeishia wapi? kwanini wasitumie ile?
Hivi kwa mantiki iyo tatizo linaweza kuwa nini nilipo nnje ya mji kama km 2 hivi tigo 4g ipo vizuri kabisa lakin nikiweka ttcl inasoma 3g tena kwa tabu sana,ila nikiwa mjini inasoma 4g vizuri tu
 
Hivi kwa mantiki iyo tatizo linaweza kuwa nini nilipo nnje ya mji kama km 2 hivi tigo 4g ipo vizuri kabisa lakin nikiweka ttcl inasoma 3g tena kwa tabu sana,ila nikiwa mjini inasoma 4g vizuri tu
4g ya tigo ni band 800 ambayo inasifika kuwa na masafa marefu ila speed si kubwa sana. TTCL wao ni Band 1800 ambayo ina speed ila coverage ni ndogo. sema TTCL wao wamezidi, Voda pia anatumia Band 1800 ila coverage yao ina afadhali.

 
That's good for you, mi naishi mbalizi but nikitoka nje kidogo tu kwenye shughuli zangu za kila siku not more than two kilometers mtandao unakua hamna hadi nirudi ndio napata network.
Bei ya kusajilia line ya ttcl ya chuo ni Tshs ngapi mkuu?

Na kwa Mbeya ofisi zao zikowapi, au wana mawakala kama Voda na tigo
 
Tigo wenyewe si wale wale tu upande wa vijijini?

ile minara ya smart imeishia wapi? kwanini wasitumie ile?
Haya makampuni ya simu yako kibiashara zaidi,sio kutoa huduma kwa wananchi wote kama wanavyosema wakati wanaanza. Utakuta wamejikita mijini zaidi, mikoani ndio usiseme, ukitoka kidogo tu nje ya makao makuu ya wilaya hamna kitu, TTCL nao naona wanaelekea hukohuko ingawa ni shirika la uma na lenye uwezo wakuweka infrustructures zake lenyewe na kuhudumia wananchi.
Mitandao yote sasa hivi inatumia minara iliyo mingi ya kukodisha, kuna makampuni ya south africa imehodhi minara mingi wanakodisha, hata ya smart nafikiri walichukua.
 
Finally nimekuja kugundua kwamba Ttcl inapatikana popote nchini ambapo Tigo inashika
Kama huipati jaribu kuweka network Manual then search...ikija Tigo chagua hiyo
Itaload kidogo badae inasoma

Cc:Chief Mkwawa
 
Nililudi nyumbani pamenoga kweli lakini pamenoga ukiwa nnje ya nyumba ukiingia ndani no service pakiimarika tujulishane wakuu
 
Inapatikana vizuri katika maeneo ya mijini.
Pia kwenye hiyo miji ni vema uwe 'katikati' maana yake pembezoni hakuna network coverage nzuri.
RUDI NYUMBANI KUMENOGA.
Mkuu mm nipo segerea vip iko vizuri?
 
Back
Top Bottom