Mtandao wa TTCL umesambaa nchi nzima?

Mtandao wa TTCL umesambaa nchi nzima?

Wanapatikana maeneo mengi, wanashirikiana na tiGO kwenye minara ya kurushia signal, ina maana walipo tigo nao wapo!
Ni kweli kabisa nimeweka laini ya ttcl kwenye simu ya Nokia asha ikaandika mobitel badala ya kuandika ttcl
 
Back
Top Bottom