ttcl fiber

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Je router gani inafaa kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani !!!

    Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router. Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
  2. Godee jr

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Fiber Kimara Temboni tumedhulumiwa pesa zetu

    Mlikuja vizuri, mkatufungia router ndani, mkachukua details zetu na mkatutumia control number tukalipia 55,000. Cha kusikitisha tangu tulipie mwaka jana mwezi wa 8 hadi leo huduma haijawahi kupatikana. Tukiuliza tunajibiwa kuwa Power hakuna kwani wateja wamejaa. Tafadhali sana turudishieni pesa...
  3. Holota

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?

    Wakuu naomba kuuliza Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa TTCL Fiber upo down

    TTCL fiber imekatika sasa ni siku nzima, hawapatikani kujibu wala hawatoi taarifa. Watu wanafanya biashara zao kutegemea mtandao na tumefunga kwa gharama kubwa ikiwemo kutoa hongo maana ni watu wa hovyo. Sasa huduma inakatakata kila mara. Reliability 0. Watu wenye biashara zetu tunategemea...
  5. 5up3rN0v4

    JamiiForums Tanzania Progress ya application ya leseni ya Starlink

    Wakuu, kuna mwenye update kuhusu progress ya Starlink kupata leseni ya kuoperate Tanzania? Nimeapply fiber TTCL ipo meter 50 kutoka nilipo mwezi sasa unakata kila siku napigwa kalenda na kupewa sababu random yan. Starlink ije, washtuke kidogo, sio fair inakuwa kama vile hatuwalipi Wanakera
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Habari wana jamvi. Baada ya jana kuhoji juu ya wengine mlipataje huduma ya fiber ya ttcl walinifata inbox na kuomba niwatumie email. Nmewasiliana nao jana na leo wamenipigia mara kadhaa nikiwa naendesha na nlipotulia wakanipigia (zaidi ya mara6) Mrejesho ni kuwa: eneo langu limejaa na hivyo...
  7. Anonymous

    JamiiForums Tanzania KERO Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Wana Jamvi, Habarini. Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni. Nilijibu kuwa tayari nina maombi 17 yangu mwenyewe, na hizi ni order numbers. Waliniambia andika jina...
  8. Ibnain

    JamiiForums Tanzania TTCL Fiber ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako moja kwa moja anakuwa na access ya router yako

    TTCL Fiber mlangoni kinachoboa ni kwamba ukimuunga mtu atumie Wi-Fi yako basi yeye moja kwa moja anakua na access ya router yako anaweza unganisha mwengine kwa ku-share QR Code au ku-access Password kabsaa hii kitu ina boa sanaa. Na hawa jamaa hawakupi access ya router labda hubadili Password...
Back
Top Bottom