Mtandao wa tiGO umevunja mahusiano yangu

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Mara kwa mara huyu mpenzi wangu akinitafuta uambiwa simu yangu iko bize au haiwezi kuunganishwa lkn huyu binti akijaribu kuwatafuta watu wengine hii shida hakutani nayo jana nimewapigia tigo kulalamika wakanambia wanashida ya mtandao.

Leo asubuh namcheki mpenzi wangu kwa njia ya whatsapp kumsabah kaamua kuninunia hataki hata kuongea namimi sms anasoma lkn hajibu nimekutana nae ofisini leo kanuna kweli yaani namuuliza mbona nakutumia sms hujibu akajibu mbona wewe hujibu nikwamwambia kuna tatizo jingine ndio uwe mkali hivi au kuna tatizo jingine nimekukosea akasema kachoka anaomba kupumzika.

Tatizo mimi nayeye tunaishi tofauti tofauti na amakuwa akinishutumu na mcheat mara kwa mara ila hili tigo walilonifanyia naama rasmi mtandao wao.
 
Bruh'....!!
Na wewe ukiamka asubuhi mpaka jioni huwa unaenda race tu siku nzima bila hata mapumziko?

Kama sivyo, kwanini utupe sisi tabu ya kusoma kitu hakina hata kituo, hivyo unataka tu tuteleze mpaka tuanguke.??

Kwani tumekukosea nini sisi..!?
 
am sorry
 
hahaha
 
Sema mkuu mi naamini utayashinda haya majaribu,au UNAWEZA NIPM NAMBA YAKE TUYASAWAZISHE HAYA MAMBO,sisi vijana kusaidiana

Nilipojiunga JF mara ya kwanza nilikuwa napost picha zangu kila wakati
 
Mematic_meme_20201107_150241.png
 
Akikua ataacha kwani mawazo kama hayo hatokuwa nayo tena kwani atakuwa ameshajua wewe sio mteja peke yako huko tigo.
 
Mara kwa mara huyu mpenzi wangu akinitafuta uambiwa simu yangu iko bize au haiwezi kuunganishwa lkn huyu binti akijaribu kuwatafuta watu wengine hii shida hakutani nayo jana nimewapigia tigo kulalamika wakanambia wanashida ya mtandao.

Leo asubuh namcheki mpenzi wangu kwa njia ya whatsapp kumsabah kaamua kuninunia hataki hata kuongea namimi sms anasoma lkn hajibu nimekutana nae ofisini leo kanuna kweli yaani namuuliza mbona nakutumia sms hujibu akajibu mbona wewe hujibu nikwamwambia kuna tatizo jingine ndio uwe mkali hivi au kuna tatizo jingine nimekukosea akasema kachoka anaomba kupumzika.

Tatizo mimi nayeye tunaishi tofauti tofauti na amakuwa akinishutumu na mcheat mara kwa mara ila hili tigo walilonifanyia naama rasmi mtandao wao.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu pole sana kwa hilo
 
Kwhy umekosa mchumba kwaajili ya tatizo la kimtandao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom