Mtandao wa Tigo na tatizo la message kufeli

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
2,321
5,945
Hili tatizo limeanza mwaka jana sikumbuki mwezi gani, ila unakuta unatuta message za kawaida report inarudi kwamba zime fail, wakati mwingine hufika ila delivery report inasema hazijaenda, hili tatizo limekua sugu na lipo mtandao wa tigo tu, sijui kwa wengine kama mmeshakutana na hili kero.
Unaweza jikuta una tuma txt moja mara nyingi kisa huu usumbufu.
 
angalia salio la msm labda limeisha mbona mimi haijanitokea


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom