Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Wakuu salam kwenu. Jaman mimi nianze kwa kusema usumbufu ninaoupata kwenye mtandao huu ni mimi tu? Au na nyie mnaupata? Niseme tangu juzi hadi leo nikituma msg haziendi kabisa hasa mida jioni tatizo ni nini hasa? Mbona hatupatiwi taarifa kama kuna marekebisho? Yaan hivi navyo andika hapa msg moja inaingia na inajirudia mpaka mara tano, pia ni mwaka wa pili sasa natuma msg kwenda mitandao mingine kama voda airtel n.k kila nikituma msg kwenda mitandao hiyo imekuwa ni shida sana naweza kutuma msg leo zikafika kesho wakat cm ya huyo nae mtumia iko hewan saa 24 lakin msg hazimfikii kwa wakati tatizo hapa ni nini? Kama kuna watu wa tigo humu mtusaidie tafadhali hasa hili tatzo la kutuma msg kwenda mtandao mwingine limekuwa sugu sasa, wadau ebu nambien nanyi mnapata masaibu haya au mimi tuu??