Mtandao wa Threads wamekuletea feature mpya mbili

Mtandao wa Threads wamekuletea feature mpya mbili

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,284
Reaction score
2,592
View attachment 2780842

Kampuni ya meta inayomiliki mtandao wa Threads wanakuletea feature mpya mbili Kwenye huo mtandao.

Watumiaji wa threads mnaletewa feature ya kuweza kuediti post ambayo umeshaituma kama ilivyo Kwenye mitandao mingine kwani mwanzoni ilikua ngumu kuediti post uliyotuma.

View attachment 2780843

ilikua lazima ufute ndo utume tena ila Sasa utaweza kuediti post uliyotuma ukakosea.Lakini inakupa limit ndani ya dakika 5 TU za mwanzo ndo utaweza kuediti post uliyokosea kutuma Kwenye huo mtandao.

ikitokea umefanya editi kwa juu Kuna alama Kwenye post itakayoonyesha kuwa imekua editi.

threadsfeature-%201%20%E2%80%93%201.jpg


Pia wanaleta feature nyingine inaitwa "voice Threads" inampa mtu uwezo wa kutuma ujumbe wa sauti Kwenye post zake kama ilivyo Whatsapp.

View attachment 2780844

View attachment 2780845

Watu walijiunga na threads watakua na uwezo wa kusikiliza post ya Audio yako kwa sauti nzuri bila shida yoyote.

View attachment 2780846
 
Hiyo ndio ile app walisema itakuja kuiua twitter?

Ikapata watumiaji 100m ndani ya siku 2 kisha ikapoteza watumiaji 90m baada ya wiki 2?

Sawa, acha tuendee na X tu.
 
Back
Top Bottom