Mtandao wa TanzaniaDaima na Virus

Mtandao wa TanzaniaDaima na Virus

Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2006
Posts
1,324
Reaction score
45
Wadau naona kila nikifungua page(s) ya tanzania Daima napata alert za virus. name "trojan malframe!html" kuna wengine wanapata the same case(s)??? ni vema waarifiwe kama taathira ni kubwa kwa watumiaji. nakumbuka mitandao yetu bongo mingi haikawii kuwa hacked au kuwa na viruses.
 
...Nilifikiri niko peke yangu! Hata mimi ndio ninachopata. Kulikoni?? (Swali, Sio Lile Gazeti!)
 
Mtandao huu huwa una matatizo sana, ila hapa karibuni walianzamchezo wa kuto update nimeshausahau siku nyingi. IPP wao niliwasahau kwa mchezo wa kuweka vichwa vya habari tu ukibofya story not available.
 
Back
Top Bottom