Mtandao wa Smart Wamekuja Na hii, bundle za kutosha

Bei iko vizuri kwa wale wa mikoani nje ya Dar kuangalia ligi za ulaya siku za wikiendi
 
1. internet zao nyingi wanauziwa kwa speed na sio vifurushi tu, ukiambiwa kifurushi cha 25mbps na ukapata 2mbps una haki ya ya kushitaki

2. hawatumii mobile data sana wengi ni broadband, mobile data hutumika matumizi machache na vifurushi ni bei ghali

sisi internet zetu ni gombania goli, mkiekewa kwenye mji bandwitch ya 1gbps na mpo kibao shauri yenu hata mpate 50kbps hakuna anaejali.

tanzania isp wanaotoa dedicated speed ni kama simbanet wakikupa 5mbps ujue ndio hio hio hata muwe wateja milioni kila mtu atapewa 5mbps yake
Mkuu, vipi TTCL na broadband yao?
Kuna kpindi nilinunua modem yao lkn ss hata cjui iko wapi maana speed ilikuwa ya kinyonga.
 
duh umeuliza hivyo nimeingia website yao nimekutana na hiki kitu

vifurushi vya siku
-sh 600 unapata 1gb
-sh 1000 unlimited

vifurushi vya wiki
-sh 7500 unapata 10gb
-sh 6000 unapata unlimited

*hapa wamenichanganya ukilipa hela nyingi unapata 10gb ila hela kidogo unapata unlimited

vifurushi vya mwezi
-sh 18,000 unapata gb 30
-sh 20,000 unapata unlimited na modem bure

wale wazee wa opportunity mkanunue kifurushi cha 20,000 na modem unauza 30,000 kama inachakachulika

hv hawa jamaa bado wapo cdma au washakuja gsm?

maana nimeona vifurushi unajiunga na ussd code kitu ambacho sijakiona cdma

ila vifurushi vinavutia sjui speed nayo ipoje
 
Hivi sasa makampuni yatashindana sana sana kwenye Data
 
si ndio hapo tunasema kuwa soko kwao litakuwa gumu, kwani huwezi ukaingia kwenye ushindani mkali kwenye sekta ya mawasiliano, ukawa juu kiasi hicho!! kama una kumbukumbu nzuri fikiria tigo walipo toka, ulikuwa unajulikana kama ni mtandao wa wanafunzi, kwani walikuwa na promotion za kufa mtu mala usiku bure, ndio watu wakakimbilia huko, hadi hapa alipo si mchezo watu wa marketing walifanya kazi yao ipasavyo.
 
Enzi hizo competition kweny market haikuwa kama sasa..sasa hivi oligopoly imekomaa.

huwezi kuja na ofa zako za bei chee bila kuongea na wenzako wakina voda, tigo, zantel na wengine.

na wakikugomea basi huezi fanya lolote..nadhani kasome zaidi kuhusu oligopoly market.
Anyway kua mpole offa zipo njiani tu..kwani mara ngapi hawa wakongwe wametutesa na huduma zao ila huwa wanachange .

mi naona tusubiri jamaa nao lazma wataleta offa.
 
duh umeuliza hivyo nimeingia website yao nimekutana na hiki kitu

vifurushi vya siku
-sh 600 unapata 1gb
-sh 1000 unlimited

vifurushi vya wiki
-sh 7500 unapata 10gb
-sh 6000 unapata unlimited

*hapa wamenichanganya ukilipa hela nyingi unapata 10gb ila hela kidogo unapata unlimited

vifurushi vya mwezi
-sh 18,000 unapata gb 30
-sh 20,000 unapata unlimited na modem bure

wale wazee wa opportunity mkanunue kifurushi cha 20,000 na modem unauza 30,000 kama inachakachulika

hv hawa jamaa bado wapo cdma au washakuja gsm?

maana nimeona vifurushi unajiunga na ussd code kitu ambacho sijakiona cdma

ila vifurushi vinavutia sjui speed nayo ipoje

Chief Mkwawa GSM siyo iko slow sana kama EDGE
 
Last edited by a moderator:

kuna technology kuu mbili za kusambaza hii network GSM na CDMA,

neno GSM linaweza tumika kama 2g (gprs na edge) na pia neno GSM linaweza maanisha technology zote za GSM (edge, gprs, wcdma, hspa, hspa+ nk)

hivyo mtu akisema GSM anaweza pia kumaanisha technology zote hapo juu, sio lazima iwe slow
 
Last edited by a moderator:
Enzi hizo competition kweny market haikuwa kama sasa..sasa hivi oligopoly imekomaa.

huwezi kuja na ofa zako za bei chee bila kuongea na wenzako wakina voda, tigo, zantel na wengine.

na wakikugomea basi huezi fanya lolote..nadhani kasome zaidi kuhusu oligopoly market.
Anyway kua mpole offa zipo njiani tu..kwani mara ngapi hawa wakongwe wametutesa na huduma zao ila huwa wanachange .

mi naona tusubiri jamaa nao lazma wataleta offa.

Naoana Umeleta Concept za Micro- Economics kwenye Jukwaa la Technology!
 
duh umeuliza hivyo nimeingia website yao nimekutana na hiki kitu

vifurushi vya siku
-sh 600 unapata 1gb
-sh 1000 unlimited

vifurushi vya wiki
-sh 7500 unapata 10gb
-sh 6000 unapata unlimited

*hapa wamenichanganya ukilipa hela nyingi unapata 10gb ila hela kidogo unapata unlimited

vifurushi vya mwezi
-sh 18,000 unapata gb 30
-sh 20,000 unapata unlimited na modem bure

wale wazee wa opportunity mkanunue kifurushi cha 20,000 na modem unauza 30,000 kama inachakachulika

hv hawa jamaa bado wapo cdma au washakuja gsm?

maana nimeona vifurushi unajiunga na ussd code kitu ambacho sijakiona cdma

ila vifurushi vinavutia sjui speed nayo ipoje

Hata kipindi hicho nilikuwa najiunga kwa USSD CODE japo ilikuwa CDMA Mkuu.
Cdhani kama wameingia kwenye GSM na hili nadhani linatoka na kubanwa na mikataba yao na Celtel.
 
Chief-Mkwawa kcamp . hawa halotel washanikera. Eti 800mb for 1k? This is too much. Wangeweka 800mb bila kikomo ya kupungua speed atleast wangevutia.

Hawa smart sio kwamba watu hawatamani la hasha... Tatizo ni lack of customer care na service. Ni kama ttcl tu. Vocha mpaka upande gari uende mjini. Na sijui mikoani ipoje

smile wapo vizur na 4g yao, speed ni nzur sana tu na coverage ya 4g smile wameweza sana hapa dar
 
Back
Top Bottom