Habari wanajukwaa, yangu jumamosi tarehe 3/4/2021 mida ya mchana hadi sasa mtandao wa polisi wa loss report lormis.tpf.go.tz haupatikani.
Labda kwenu mnayo taarifa yoyote nini shida? Maana kuna wengine ni wagonjwa wanakosa HUDUMA ya matibabu kwa sababu wamepoteza kadi za bima na wanahitaji loss report.
Tunaomba mamlaka zinazohusika mtusaidie kurekebisha hili. Hali ni kama inavyoonekana pichani.