Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habarini wana JamiiForums,

Naombeni kujua ni mtandao gani unatoa ofa za night bundle zenye gb kubwa maana sisi wengine tunatumia sana video sasa inakuwa ngumu kutumia bando la kawaida maana gharama ni kubwa hivyo tunavizia usiku.

Je, mtandao gani unatoa night bundl? Kwa sasa TTCL wamefuta TOBOA.
 
hiyo 1500 ni unlimited mpaka muda wa 6:00 am
Ni unlimited lkn haina speed na hata ukeshe usiku mzima hutufik hata gb 2 yaan ipo slow mpaka kero sisi tunaodownload movies ndio kabisa ukiweka bit torrent unaona speed 0.01kb/s time 4 week kwa maana kuwa baada ya mwez mmoja ndio file litakuwa limemalizwa kudownloadiwa
 
Jaman wadau hii issue naomba mtake very serious na tupaze saut kuikemea hii mitandao ya simu inapunguza huduma kila kukicha na sisi tumenyamaza yaan kila kitu ni sawa tu tusipoangalia kuna siku mtanunua 100mb kwa 10k.
 
Jaman wadau hii issue naomba mtake very serious na tupaze saut kuikemea hii mitandao ya simu inapunguza huduma kila kukicha na sisi tumenyamaza yaan kila kitu ni sawa tu tusipoangalia kuna siku mtanunua 100mb kwa 10k

Airtel wana bundle ya usiku inaitwa amsha popo, unapata 10gb kwa 1500 kuanzia saa6 usiku hadi saa12 asubuhi. Ila kuanzia saa6 hadi saa7 ni speed ya kobe, speed inaanza kuchanganya mida ya saa8 hivi
 
Back
Top Bottom