Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,543
- 10,785
Thread closed.
Not closed yet.
Kuna Airtel pia 1500Tsh = 10GB
Speed yao inaridhisha kidogo inaikaribia Voda.
Thread closed.
Nimeenda kuuliza customer care wamesema hamna bando la ucku kwa sasa.
menu ?Halotel tsh 500 = GB 1
Tsh 1500= GB 10
menu ipi bro?Tumia airtel 1500 , 10gb
menu?its unlimited kwa 1.5k mkuu sio gb10
menu ipi bro?
hapo lazma ukesheAirtel wana bundle ya usiku inaitwa amsha popo, unapata 10gb kwa 1500 kuanzia saa6 usiku hadi saa12 asubuhi. Ila kuanzia saa6 hadi saa7 ni speed ya kobe, speed inaanza kuchanganya mida ya saa8 hivi
pw pw*149*99#
Ofa maalum
Amsha popo
Then internet..utaikuta huko
Kuna unlimited internet Kama una ya chuo 1500 saa6 usiku Hadi 12Halotel tsh 500 = GB 1
Tsh 1500= GB 10
kwa line za kawaida *148*66#menu?
😂😂😂nchi inapitia mengi mkuuUlimited lkn ovyo kabisa
mbona mimi hainisumbui mkuu per night naeza consume 56GB na 8.6mb/s non stopNi unlimited lkn haina speed na hata ukeshe usiku mzima hutufik hata gb 2 yaan ipo slow mpaka kero sisi tunaodownload movies ndio kabisa ukiweka bit torrent unaona speed 0.01kb/s time 4 week kwa maana kuwa baada ya mwez mmoja ndio file litakuwa limemalizwa kudownloadiwa
Rudi shule wewe!Kalibu EATEL. Akika utojuta
sawa sawakwa line za kawaida *148*66#
kwa line za chuo menu ni ile ile but hii iyo bundle ni (1k)+'kwa halotel halotel
Mi nadhani inategemea na place ulipo, maana mimi hua nadownload games za GB 40+ zinamaliza ndani ya muda. Speed hua napata mpaka 3Mb/s kwa IDM while kwenye BitTorrent ikizidi sana ni 400kb/sNi unlimited lkn haina speed na hata ukeshe usiku mzima hutufik hata gb 2 yaan ipo slow mpaka kero sisi tunaodownload movies ndio kabisa ukiweka bit torrent unaona speed 0.01kb/s time 4 week kwa maana kuwa baada ya mwez mmoja ndio file litakuwa limemalizwa kudownloadiwa
Naweza kukubaliana na ww katika hili halotel wapo vzr sn town posta lkn huku gongo la mboto bado na pia kuna simu zina LTE Advanced cat 6 unauwezo wa kuset LTE Only na hawa pia wanaweza pata network kwa kas nzur maana LTE Advanced ina antena mbiliMi nadhani inategemea na place ulipo, maana mimi hua nadownload games za GB 40+ zinamaliza ndani ya muda. Speed hua napata mpaka 3Mb/s kwa IDM while kwenye BitTorrent ikizidi sana ni 400kb/s
Habarini wana JamiiForums,
Naombeni kujua ni mtandao gani unatoa ofa za night bundle zenye gb kubwa maana sisi wengine tunatumia sana video sasa inakuwa ngumu kutumia bando la kawaida maana gharama ni kubwa hivyo tunavizia usiku.
Je, mtandao gani unatoa night bundl? Kwa sasa TTCL wamefuta TOBOA.