Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?

Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?

Jamani huu uzi ufanyieni update tujue kwa Sasa ni mtandao gan upo vizuri Kwny usiku pack me naanza
Halotel 500- 1Gb
1500-5Gb
Mitandao mingine sijajua kwa anaejua atupe maujanja.
 
Jamani huu uzi ufanyieni update tujue kwa Sasa ni mtandao gan upo vizuri Kwny usiku pack me naanza
Halotel 500- 1Gb
1500-5Gb
Mitandao mingine sijajua kwa anaejua atupe maujanja.
Airtel gb 10 kwa elf 1500
 
Anayetaka kutumia internet bure kabisa kwa watumiaji wa vd aje nimuelekeze atalipia malipo kidogo tu.
 
Wakuu ivi ni kwer halotel vifurush vyao vya night pack unlimited maana naona ni kama gb 5 tu zile zile walizosema
 
Back
Top Bottom