Ipo ukijiunga kutumia halopesaHalotel Madai yao wameshtuka,hatimae hatuna unlimited tena umbwa hawa...
Ipo ukijiunga kutumia halopesaHalotel Madai yao wameshtuka,hatimae hatuna unlimited tena umbwa hawa...
Ipo na ndio natumia saa hii...Mimi huwa natumia Halotel, ambayo ni 3,000/=. Napata 3gb dk 30 mitandao yote kwa siku 7.
Asante,sikulijua hili (usiku wa leo ilibidi nilale tu) baada yakukutana na GB 5 kwa 1500Ipo ukijiunga kutumia halopesa
Vp mkuu ulifanikiwa, mimi ata kwa kutumia halopesa bado inakata ikifika 4.5 GB... naona hawatoi tena hii unlimitedAsante,sikulijua hili (usiku wa leo ilibidi nilale tu) baada yakukutana na GB 5 kwa 1500
nikaona kama halotel ndio wameamua kunitupa basi,kitanda changu hakiwezi nitupa.
hivi hizi laini zina ukweli katika haya yaliomo au ndio fursa nifursue...Halotel naona wanalaini zao hizi ni nzuri ziko za mwezi na za wikiView attachment 1682423
Hawa halotel Zanzibar wame failAsante,sikulijua hili (usiku wa leo ilibidi nilale tu) baada yakukutana na GB 5 kwa 1500
nikaona kama halotel ndio wameamua kunitupa basi,kitanda changu hakiwezi nitupa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji3059][emoji8][emoji10][emoji11][emoji9][emoji7][emoji7][emoji7]Kalibu EATEL. Akika utojuta
shida mtandao au vifurushi bei?Hawa halotel Zanzibar wame fail
Unabonyeza ngapi kupata hiki kifurushi mkuu
*149*99#Unabonyeza ngapi kupata hiki kifurushi mkuu
Inategemea na kifaa chako mimi nashusha movie kila week zaidi ya 20 na zote zinajaa ndani ya 6 Hours.Ni unlimited lkn haina speed na hata ukeshe usiku mzima hutufik hata gb 2 yaan ipo slow mpaka kero sisi tunaodownload movies ndio kabisa ukiweka bit torrent unaona speed 0.01kb/s time 4 week kwa maana kuwa baada ya mwez mmoja ndio file litakuwa limemalizwa kudownloadiwa
Ni ukweli mkuu ndo ninayotumia hapa,mda wa kuexpire ukifika kama mb zipo ukirenew unazikuta zinaunganahivi hizi laini zina ukweli katika haya yaliomo au ndio fursa nifursue...
Mkuu usiyumbishwe na wala usipoteze muda wako kuhangaika na hilo bundleAsante,sikulijua hili (usiku wa leo ilibidi nilale tu) baada yakukutana na GB 5 kwa 1500
nikaona kama halotel ndio wameamua kunitupa basi,kitanda changu hakiwezi nitupa.
Saizi ni limited ile unlimited haipoInategemea na kifaa chako mimi nashusha movie kila week zaidi ya 20 na zote zinajaa ndani ya 6 Hours.
Yeah hivi karibuni wamestuka wanaona tutawafirisi mtaji.Saizi ni limited ile unlimited haipo
nakubaliana nawewe mkuu,jana nimelithibitisha hili...Mkuu usiyumbishwe na wala usipoteze muda wako kuhangaika na hilo bundle
Huko halopesa waliandika unlimited na nikawa wa kwanza kulinunua lakini message ya kifurushi ikaja GB5. Nikacheki mpaka salio nikaona GB5 imesimama, niliwa mind ******* hawa wadwanzi maana siku hiyo nilikua nimepack mzigo wa maana utorrent
Hapa nawaza kuhamia Mjini,nivute fibre home Maisha ya kupimiwa internet sijawahi kuyaweza.Saizi ni limited ile unlimited haipo