Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,456
Huu ni uzi maalumu kabisaa[emoji16][emoji16]
wa kumtamkia X wako neno lolote
Wewe funguka tu, mtumie salamu huko alipo..
Itapendeza pia kama utagusia kasababu kalikofanya mpaka mtengane...huenda ambao hawajatengana watajifunza jambo..[emoji4][emoji4]