Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443
Wakuu nilko huku kwa shughuli za Kijamii...............

Hapa tunachimba dawa....

Nimefikia hapa, Hotel hii ina mandhari nzuri sana

Viunga vya mji wa Lushoto

Hapa panaitwa MLALO

Mwenyeji wangu Shemweta akikatiza mitaa ya Mlalo na rafikiye

Hapa niko kwenye Gulio la Mwikozi

Soko la kwa Sunga Tanga
Nikahudhuria mechi ya hisani

Mzee Mtambuzi mwenyewe namba tisa mgongoni

Nikifotolewa picha ya pamoja na mheshimiwa mgeni rasmi

Timu pinzani Malindi FC, tuliibabua 3 kwa 1

Taifa la kesho, watoto hawa walifurahi kukutana na mzee Mtambuzi...

Lushoto kuzuri bana, hebu cheki bonge la house kama mtoni vile...!
Kesho nitaweka picha zaidi za matukio yaliyojiri huku Sambaani kabla sijarusi Dar