Mtambuzi safarini LUSHOTO-Picha za Matukio...........!

Mtambuzi safarini LUSHOTO-Picha za Matukio...........!

aaah jamani ungefikia hotel ya LUSHOTO HIGHLAND ni pa ukweli balaa nilikuwa hapo for a week na gharama zao ni cheap uwezi amini, usisahau kwenda kwenye hotel ya mkapa gharama ya chumba ni dollar...... per day. kiukweli lushoto kupo powa na landscape yake ni noma. dah umenikumbusha mbali sana.
 
"KWETU PAZURI, NIMESHAPAKUMBUKA"!!!
Ahsante kwa uzi ulionikumbusha my roots....I will always miss this devine place sana sana hapo Mlalo -mkongoloni!:wink2:
 
Naomba sana sana nipatie picha ya wale walioharibu mawe yet mazuri kwa kuandika matangazo yao ya Hostel na Accomodation na ukipata picha ya kijiji kinaitwa Dochi karibu na chuo cha Mahakama nitafurahi sana maana hapo ndipo nilispend utoto wangu kwa miaka kadhaa wakati huo chuo cha mahakama kikiwa ni Chuo Cha CCM, nilikua naenda shule ya vidudu pale, nimeimisi sana Lushoto.

Ukifika eneo linaoitwa Vuga baada ya kupita SONI kuna sehemu nyembamba sana hapo ndugu yangu alipata ajali mwaka 1996 akiwa kwene coaster ambapo iliviringika hadi kufika chini mtoni ambapo na about mita 600, nina kumbukumbu nyingi sana za Lushoto, nitakwenda na mimi huko.

Kipindi hicho nafukuzia videnti vya Lwandani Sec nililalapale Mlalo gesti inaitwa Mkongoloni na siku mbili baada ya kuondoka ndipo mafuriko makubwa sana yalitokea pale Mlalo ambapo kila kitu kilizolewa including lile daraja....memories!!!!!!
 
Mkuu hapo kwenye red, unamaanisha IRENTE au VIEW POINT? Mimi pia nitakuwa na safari ya kwenda huko wiki mbili zijazo na natarajia kufika maeneo hayo! Vipi hali ya hewa kipindi hiki? Si unajua ukitoka Dar kwenye TANURU, sehemu nyingine unajiona kama uko kwenye jokofu au mochwari?!
Hali ya hewa ni nzuri sana kuna kijiubaridi cha kiushikaji na kinafaa sana kwa honeymoon
 
habari yako Mgosi..........LOL
Aisee nitakutumia picha hizo kwa PM.
Nina good time sana huku, lakini kesho naelekea A. Town na Ijumaa na fly back in Dar.
 
"KWETU PAZURI, NIMESHAPAKUMBUKA"!!!
Ahsante kwa uzi ulionikumbusha my roots....I will always miss this devine place sana sana hapo Mlalo -mkongoloni!:wink2:

Aisee kweli kwenu ni pazuri...........
 
Mkuu hapo kwenye red, unamaanisha IRENTE au VIEW POINT? Mimi pia nitakuwa na safari ya kwenda huko wiki mbili zijazo na natarajia kufika maeneo hayo! Vipi hali ya hewa kipindi hiki? Si unajua ukitoka Dar kwenye TANURU, sehemu nyingine unajiona kama uko kwenye jokofu au mochwari?!

Sasa hivi siko huko mkuu nimesharudi kwenye TANURU ila akipita Mtambuzi atakupa habari za hali ya hewa ya huko.
Namaanisha kule IRENTE pa kuruka na Parachute,safi sana.Pia hata kule vijijini maeneo ya FUNTA na MPONDE kuko poa sana ila angalia usije ukaenda jioni sana ukiwa unadrive kunakuwa na ukungu mpaka dereva anashindwa kuiona barabara..
 
Naomba sana sana nipatie picha ya wale walioharibu mawe yet mazuri kwa kuandika matangazo yao ya Hostel na Accomodation na ukipata picha ya kijiji kinaitwa Dochi karibu na chuo cha Mahakama nitafurahi sana maana hapo ndipo nilispend utoto wangu kwa miaka kadhaa wakati huo chuo cha mahakama kikiwa ni Chuo Cha CCM, nilikua naenda shule ya vidudu pale, nimeimisi sana Lushoto. Ukifika eneo linaoitwa Vuga baada ya kupita SONI kuna sehemu nyembamba sana hapo ndugu yangu alipata ajali mwaka 1996 akiwa kwene coaster ambapo iliviringika hadi kufika chini mtoni ambapo na about mita 600, nina kumbukumbu nyingi sana za Lushoto, nitakwenda na mimi huko. Kipindi hicho nafukuzia videnti vya Lwandani Sec nililalapale Mlalo gesti inaitwa Mkongoloni na siku mbili baada ya kuondoka ndipo mafuriko makubwa sana yalitokea pale Mlalo ambapo kila kitu kilizolewa including lile daraja....memories!!!!!!
Pole sana kwa kupishana na mafuriko umekumbusha kitambo sana nikiwa hapo lwasesco
 
Mtambuzi lazima wewe ni huyo hapo mwenye trakisuti ya bluu.....wa pili kutoka kulia....
btw....naomba nikutume kwa Shemahonge....kuna mafenesi yangu amevuna kakosa jinsi ya kunitumia......

umepatia kwa sababu huyu jamaa ni chelsea na chadema damu damu.
 
Ulizia kijiji cha Dochi, hiki ndicho kijiji ambacho wajerumani walifika hapo na walikua wakitokea mji wa Dutchwelle (sp) ndipo tukashindwa kutamka tukapaita Dochi...hahaha historia nzuri sana
 
Ulizia kijiji cha Dochi, hiki ndicho kijiji ambacho wajerumani walifika hapo na walikua wakitokea mji wa Dutchwelle (sp) ndipo tukashindwa kutamka tukapaita Dochi...hahaha historia nzuri sana

Ngoja niwaulize wenyeji.............nipo kwenye kilabu cha pombe za asili, wanauza pombe maarufu kwa jina la Dengelua......
 
Sasa hivi siko huko mkuu nimesharudi kwenye TANURU ila akipita Mtambuzi atakupa habari za hali ya hewa ya huko.
Namaanisha kule IRENTE pa kuruka na Parachute,safi sana.Pia hata kule vijijini maeneo ya FUNTA na MPONDE kuko poa sana ila angalia usije ukaenda jioni sana ukiwa unadrive kunakuwa na ukungu mpaka dereva anashindwa kuiona barabara..

Hali ya hewa huku iko pouwa sana mkuu, lakini mwezi wa sita usije, wanasema kuna baridi kali balaa..........
 
Nimepata Kigoli huku wa kupitsha naye usiku.................
Hiki kibaridi cha huku Sambaani hakifai kabisa kuupitisha usiklu peke yako.............naamini hii maneno itaishia hapahapa JF yasije mfikia mama Ngina.
Kazi na dawa kaka lol... omba wambeya wasipite hapa taarifa zitafika, tena zikiwa zimeongezwa maneno.

anyways, tuache mzaha, Lushoto ni kuzuri sana
 
Kazi na dawa kaka lol... omba wambeya wasipite hapa taarifa zitafika, tena zikiwa zimeongezwa maneno.

anyways, tuache mzaha, Lushoto ni kuzuri sana
Kumbe na wewe unawajua wambeya wa humu eh! Bahati nzuri hawatembelei hili jukwaa la Photos, maana leo wangeimba ule wimbo wa "Naenda kusema kwa mama....leo"

Hapo kwenye kuchimba dawa hapo, Mtambuzi we ulichimba dawa gani? Lol!
 
Mtambuzi mara ya mwisho ulisema Dar hakukalika ukaamua kumfuata motherson AR. Sijui yupo LSHT pia. Kuna baridi nzuri sana! nakupenda Lushoto.

Hapo Hospitali ya bumbuli,kwa chini kuna kijito, juu utaona nyumba ya bati na kuku wanazunguka zunguka, basi ndipo karibu na kwetu.

safari njema
 
Huko kuzuri kutembelea. Hata watu wenye vitambi tutapata namba ndani ya timu ya mpira wa hisani
 
Back
Top Bottom