Ahaaa! Huyu mTabata ni mnoma. Nimemkubali na kumvulia kofia. Khaaa! Chezeiya mahela?
Hatua tano kutoka kwenye Pub kuna gest house na bei yao ni rahisi sana, chapchap buku tano tu, kulala elfu saba....
mtambuzi hiyo ''y'' hapo imeharibu jina.Kwa wale watakaotaka kuja kuna jamaa anaendesha bajaji hapo relini maarufu kwa jina la Tombya, yeye atakuleta kwa buku tu....
kwa hiyo na kwa akina dada watapata na zile ndizi ambazo ukila unaiacha hapo hapo ili na wenzako wakitaka waje kuila.
Kabla sijakupeleka, kwanza niambie umenisamehe kwa niliyokutendea?
Amin Amin nakuambia, leo mimi na wewe tutaambatana kwenda Mtambuzi Pub kupata albatar na kishushio, afu tukirudi ntakutendea ile haki yako unayoipendaga sana ukishapiga Amarula zako.Kwa roho moja mpenzi wangu...........:mwaaah::mwaaah::mwaaah: haya nipe kidate basi
Amin Amin nakuambia, leo mimi na wewe tutaambatana kwenda Mtambuzi Pub kupata albatar na kishushio, afu tukirudi ntakutendea ile haki yako unayoipendaga sana ukishapiga Amarula zako.
Hahahahaha..... kulaaleki kumbe hiyo makitu iko karibu na KITURUNYA? Ahsante kwa taarifa.Mzee labda ubebe HEMA, maana hali ya hewa leo hii guest ya KITURUNYA imejaa mapemaa, na hakuna aliyechukua chumba kwa mkataba wa chapchap, wote wamelipa buku saba mpka kesho..........
Naona uko KILOHO SAFI
KMuonekano wa Mtambuzi Pub kwa nje, hapo vijana wa kitaa wakicheza Pool......
Kwa roho moja mpenzi wangu...........:mwaaah::mwaaah::mwaaah: haya nipe kidate basi
Kwi kwi kwiiiiiii hilo zoezi mbo tushalimaliza wajameni we kuja pande hii nikupatie majibu