mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,179
Inafunguliwa rasmi leo maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya.....
Naomba mniunge mkono wana JF, ndio nimeanza mchakato wa kujiajiri ili kuondokana na umasikini.
Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa kuku wa kumwaga.........
Asante.
Ila c tunakunywa huku unatupigia hadithi ee!!(joke)
Ok ngoja nijipange tutakuja kukuunga mkono.
haka kapost nikikasoma naweza kuimagine jinsi ulivyojawa na shauku ya kwenda kuutwika
Acha tu Mkuu,
Pombe ukiiendekeza unaweza hata kulala kaunta.
Nilishawahi kujifungia garini mpaka asubuhi.
Sitakunywa tena kwa mashindano.
Nna imani waumini wameskia !Hatua tano kutoka kwenye Pub kuna gest house na bei yao ni rahisi sana, chapchap buku tano tu, kulala elfu saba....
Nna imani waumini wameskia !
Kuna jamaa yangu amekuja jana kutoka AR kunipa taff ni bingwa wa nyama choma kule Kwa Moromboo Arusha......!
mkuu nasikia Kongosho ndo muhudumu na binti yako Cantalisia ndo akaunta?
weekend ntatinga mkuu ( utamwona live The secretary siku hiyo).