Mtamaliza mabucha nyama ni ile ile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtamaliza mabucha nyama ni ile ile

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzalendo Mkuu, Dec 30, 2010.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 731
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Utamaliza mabucha nyama ni ile ile ni mzemo mashuhuri sana katika jamii na mara nyingi hutolewa na ile jinsi pinzani ambayo kwa siku za karibu imepanda chati sana hapa Tanzania.
  Kwa maoni yangu msemo huu umekaa katika hali ya kiuvivu sana. Kimantiki, katika hali ya bucha za kawaida nyama hutofautiana kutegemea na aina ya nyama (hapa tunaongelea nyama ya ng’ombe tu). Kuna nyama ya ng’ombe wa Maziwa na wale wa nyama na radha ya nyama hizi hutofautiana sana.
  Lakini pia kuna nyama ya ng’ombe wa kienyeji wanaotoka Usukumani au Ukuryani na wale wanaotoka kwenye Ranchi hasa pale Kongwa. Ni wazi kuwa nyama ya Ngombe wa Kongwa na Shinyanga ni tofauti na sababu ziko nyingi na wazi. Matunzo, mazingira, na kubwa zaidi ni Maumbile! Kama vile ambavyo nyama hiyo inatofautiana ndiyo bucha zake zitakavyovutia watu tofauti kutokana na sababu za hapo juu.

  Kwa upande wa zile Bucha zile nyingine (kwani nazo ni bucha kweli? Teh teh teh )hali ni hivyo hivyo, matunzo, mazingira na Maumbile ni vitu muhimu sana. Nawaasa wauzaji wake waache uvivu, warekebishe matunzo, mazingira na mambo yatakuwa sawa. Tusirahishe mambo sisi walaji tunaona tofauti kati ya nyama ya bucha moja na nyingine kutogemeana na kama inatoka Maswa au Kongwa!.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 84,930
  Likes Received: 59,199
  Trophy Points: 280
  Good observation...........na ndiyo maana wengi hawautilii maanani msemo huo..................
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  hakika wewe ni mzalendo mkuu!!!!!!!
   
 4. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hakika nyama zinatofautiana hata vidole ebo hata watunzaji sidhani kama wanakuwaga na recipe zinazofanana

   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Msemo huu unamaanisha hata kama unakula nyama zenye radha tofauti lakini bado ni nyama na hauzungumzii radha bali msingi wake ambao ni NYAMA.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sasa watu wanafuata TASTE na si NYAMA tuu, maana mishkaki inakuwa mitamu zaidi kuliko nyama ya kuungwa au ya mchuzi wanaita. so mkuu TASTE matters a lot!!!
   
 7. mapango

  mapango Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hata nyama ya koo na mtamba ni tofauti pia...
   
 8. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,010
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  He! kumbe mabucha tofauti na nyama ni tofauti, umesema kuna tofauti ya matunzo, maumbile, mazingira, hivi umetaja na ladha ee. Mi naona wangesema utazunguka mabucha yote lakini utamu wa nyama unategemea mpishi.. eti ee....wewe huoni kama ladha ni muhimu zaidi katika mchakato mzima wa kula hiyo nyama, maana unaweza ukanunua nyama 'bucha ya ukweli' lakini mapishi yakawa hovyo ukashindwa hata kuenjoy hiyo nyama yenyewe, na mtu anaweza akanunua nyama kibucha cha hovyo hovyo lakini akakaangiza ukashindwa hata kuamini kama amenunulia bucha ile au.......
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,436
  Likes Received: 28,269
  Trophy Points: 280
  Asemaye hazina tofauti hajaonja zingine
   
 10. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  kumbe hata nyama za ng'ombe mmoja zinautofauti wa taste?
   
 11. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,010
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  ee.., hujui kama kuna kidali, kiuno, salala, jembe, nundu, mkia, steki na nyingine ambazo sizijui, hizi zote zina taste tofauti, na upishi wa mtu mmoja na mwingine hufanya hiyo hiyo nundu iwe na ladha tofauti tofauti, kwa hiyo achilia mbali sehemu za nyama ya ng'ombe bali na mapishi pia hubadilisha ladha.
   
 12. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,330
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  kwisha habari yao.
   
 13. czar

  czar JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaap mapishi yana uzito wake Yahkeee, na kwa bongo haijifichi, wapishi wa pwani kama Tanga etc na wa sehemu kama dodoma etc tofauti ni kubwa saana maana kuna viungo kama nazi na hiliki vikichanganywa aibu.
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,255
  Likes Received: 39,262
  Trophy Points: 280
  Nimeshalisema hili mara nyingi sana hapa jamvini. Umeshawahi kuona watu wanavyogombea nyama ya kongwa? Wanaigombea kwa sababu wanaifahamu ni nyama laini haina uchafu mwingi na ladha yake ni nzuri sana ukilinganisha na nyama nyingine. Ni msemo tu wa kujifurahisha na kutaka kuonyesha katika mabucha yote nyama ni ile ile lakini ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa ya usafi wa nyama, ladha, ulaini katika bucha moja hadi nyingine.

   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huu msemo umeshapitwa na wakati sana,unafikiri ngombe wa Dodoma anaweza kuwa na ladha sawa na wa uchagani anayeletewa kila kitu ndani
   
 16. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,446
  Likes Received: 1,642
  Trophy Points: 280
  hata nyama ya makal.o hazifanani toka ng'ombe mmoja hadi mwingine
   
 17. v

  vegule Senior Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tofauti saaaaana mbona. kuna nyama nyembamba na paaana hadi unapwaya, majimaji na kavuuuuu hadi waweka mate, baridi na jotoooo hadi waunguwa. kuna inayotikisika na iliyokimya kama maji ya mtungi. kuna iliyochakaa na mpyaaaa kama...., kuna mimashavu mikubwaaa iliyolala na vimashavu vidogoooooo utafikiri k haipo. Endeleeni nimechoka duh
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  inaone
  du inaonekana huwa unafanya kuzikagua haswa
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,255
  Likes Received: 39,262
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahah hebu piga picha kichwani jamaa yuko busy kukagua kila upande hii ni ya aina gani halafu anachukua notes ili kufanya comparison baadaye na nyingine LOL!

   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaaaa yaani kuna watu na viatu,maana hawa ndio wale umeme ukizimika anaahirisha mchezo kumbe ana lake jambo.Umenifurahisha sana kwa kweli.
   
Loading...