Mkulima wa kawaida
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 167
- 37
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
mbona nusu nusu mkuu,funguka zaidi!
hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo mchaga wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Hakuna masalia ya zitto hapa,lazima ukweli uwekwe wazi! Lengo la chadema si kuwakomboa watz wote bali kuikomboa kanda ya kaskazini na hilo liko wazi.Baada ya kuona hakuna uwezekano wa kupata madaraka yajuu serikalini kupitia ccm,wakaskazini na hasa wachaga wakaamua kuja na huu mkakati,wengine mob psychology na njaa zao tu zilizowasumbua kujiunga chadema.most of tanzanians are not focussed,they are ready even for matangopori!
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Nasema tena: Zitto bado ana fursa ya kukua ndani ya CDM na sijamdelete bado pamoja na yote hata.
Tatizo langu kubwa ni hawa wapambe, wanachefua sana. Hivi Zitto akiwa rais hawa si ndio watakuwa washauri wake???
Kama unaongelea ubora wa Zitto kuna ulazima gani wa kubomoa wengine?? Mnyika, Wenje, Sugu n.k wanaingiaje kwenye hoja ya umahiri wa ZK??
ZK talk to your boys: hakuna haja ya kukutetea acha hiki kimbunga kitulie then come out humbly na waeleze viongozi wenzio yote unayoyajua kisha kubali ushauri wao na maamuzi yao.....
Usifanye kosa la kutoshughulikia jambo hili maana linaweza kutulia lakini mark my words, litakuandama siku za usoni na wapinzani wako watalitumia kama kuna siku umetapata fursa ya kugombea uongozi wa juu iwe kwenye chama ama kwingineko....
hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo mchaga wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Zitto,huwezi kujisafisha wala huwezi kusafishika. Wewe ni kimbelembele,mlafi,mtaka yote na msaliti.