Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.

wewe na wenzako mupo kwenye kazi maalumu ya kumchafua zitto,mpango wenu upo mikononi na mutaumbuliwa muda si mrefu.
 
kwani kuna ubaya gani wa kumfananisha zitto na wabunge mwenzake vijana ambao wengi wameingia kwenye siasa kwa kuvutiwa na siasa za zitto.

Wewe kwa sasa kati ya Mnyika na Zitto wadhani yupi bora??
 

Acha kupotosha wewe Chadema hakuna makundi wala udini wala kuchafuana, Chadema ni chama makini kimejaa vijana wasomi...Cc to WABHEJASANA,
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni nani hadi utusemee sisi wana MARA? Acha ujinga...hapa...Zitto ni jembe la mkono limepitwa na wakati...Matrekta wakina Tundu Lissu na J.J.Mnyika wapo kazini..na sio Waskazini...nyama ya mbafu wewe...

kumbe hao ndio waliowatuma muje kumchafua zitto,sasa waambieni hamuwezi,walishindwa watu
 
kweli ni jembe kwani anahitaji mpini ili awe anafikiri vzr sio kukurupuka kwa uroho wa madaraka
 
Wewe kwa sasa kati ya Mnyika na Zitto wadhani yupi bora??

bora kwa lipi? kama kwa kuibua hoja nzito za kitaifa na zenyekuleta matokeo,sijaonaga zaid ya kabwe zitto,subirini bunge la mwezi wa kwanza,munacheza na zitto nyie ile ni habari nyingine,Angalia bunge lililopita,hoja kama ya mkonge,kutokuwa na imani na waziri mkuu,na hii ya mabillioni ya uswiss,ebu nitajie hoja tatu za mnyika.Mnyika ni mwanafunzi wa zitto
 

Wewe wa sema,vip nasikia kuna watu wanaandamana muda huu,kudai slaa arudishe kadi moja.Chadema kaskazini lazima mukae.
 
Hakuna hoja ya kumchafua zitto zaidi ya hoja nyepesi,sijui mnafiki,sijui mshirikina,sijui,pm 7,hamna hoja naona ni vioja tu hapa.Songa mbele zitto.wewe ni jembe hashwa.
 
haya kachukue posho yako kwa zzk kwa umbulula aliokutuma kumwaga hapa jamvini mbulula weee
 
Acha kupotosha wewe Chadema hakuna makundi wala udini wala kuchafuana, Chadema ni chama makini kimejaa vijana wasomi...Cc to WABHEJASANA,

Hili la slogan ya udini, ukanda na ukabila lina maslahi makubwa na magamba kwakuwa imeeendelea kubainika jinsi magamba mlivyokuwa mkiwafadhili wasaliti wa PM7 ili waendelee kulihubiri kwa nguvu nyingi.
Sasa nikiona msukule wa magamba unashabikia vitu kama hivyo sishangai hasa unapojaribu kualika wenzako kuja kujaribu kukupa desa kwakuwa wewe ni tegemezi.
 
Last edited by a moderator:
eti "anasimamia anachokiamini" kwa hiyo kama anasimamia utumbo anaouamini basi wewe anakufelisha kabisaaaa!!!
USITUAMBUKIZE UJINGA WAKO!!!!!!!

stupid- like,jenga hoja we nyani usikurupuke kama ke..,kama kenge
 
 
kweli mumeishiwa hoja chadema kaskazini

Makamanda wa Kasulu sasahivi wanakinukisha katika kusherekea ushindi wa Lema na kuendeleza M4C wakati ninyi masalia mko busy JF kumharibia status bosi wenu.
Nadhani unafamu na kutambua kwamba Kasulu iko kaskazini.
 
Masalia at work!ni ujinga kutetea ujinga1au ndo tuseme mnaendeleza sera zenu za kulindana kwa maslahi ya Team Masali PM-7
 
Chadema kaskazini wanataka kuwafanya watz kama mambuzi tumejua siasa zenu mnazoziendeleza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…