Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
1,201
Reaction score
515
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
 
Masalia PM7 munachekesha munavyofurukuta mkasafisha huyu mweshimiwa mr Matunguri Zitto kwa kauli yake muuwa mapanya ha ha ha too late hata mumkoshe kwa jiki mchawi yule yu mtupu by the way masalia mumesikia Lema karudi kwa kishindo anataka aondoke amesimama hapati hiyo nafasi mumiani wa kisiasa zitto
 
jamaa kwa kununua wafuasi yupo fiti
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

ZZK hawezi kuwa jembe wewe kwani Zitto ana kadi mbili? Jembe ni Babu si umeona ana kadi mbili na bado hatumwambi kitu? ss kwa Babu kama vile Kibwetere na Wafuasi wake.
 
Aaar ar umeniuzi yaani mnyika ni mropokaji,duu kweli nimekubali hoja yako nusunusu,lakini tatitzo inaonekana wewe kwa majungu,fitina,chuki na uzandiki mtupu. Kwa stahili hii wewe ni janga mbele ya cdm. Cdm si mtu,cdm ni taasisi!
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

wewe ni nani hata utusemee sisi wanaMara?
 
Labda jembe lako ww kilaza inaonekana hata fuse ya kikra katika kichwa chako zitooo alisha zikata shwaini
 
....that was auwkward statement to be given by a strong leader like Zito,unatisha watu kwa uchawi!itamcost sana.
 
Jembe lilokosa mpini nani anataka matunfuri Zitto
 
Ukiona mawasiliano ya zitto na akina saa8 utagundua kwamba jf inawapaga kiwewe sana hawa jamaa ndo maana wanajitahi kujisafisha.Kwa hiyo hata mleta mada ndo walewale wa kutaka kuwasafisha mp7.Endelea amini kuwa mganga wako wa kienyeji zzk kuwa ni jembe.Nakushauri usianze movie mpya kwa kumlinganisha zitto na watu wenye akili kama mnyika,lissu.Zitto saizi yake ni akina saa8,mwampamba n co
 
ZZK hawezi kuwa jembe wewe kwani Zitto ana kadi mbili? Jembe ni Babu si umeona ana kadi mbili na bado hatumwambi kitu? ss kwa Babu kama vile Kibwetere na Wafuasi wake.

zitto jembe kweli yani anawachukia hadi panya daa zitto jembe yani kawanywesha matunguri watu hadi hawajitambui wanachomtetea
 
eti "anasimamia anachokiamini" kwa hiyo kama anasimamia utumbo anaouamini basi wewe anakufelisha kabisaaaa!!!
USITUAMBUKIZE UJINGA WAKO!!!!!!!
 
Hana cha ujembe wowote zaidi ya uroho wa madaraka!
 
Nasema tena: Zitto bado ana fursa ya kukua ndani ya CDM na sijamdelete bado pamoja na yote hata.

Tatizo langu kubwa ni hawa wapambe, wanachefua sana. Hivi Zitto akiwa rais hawa si ndio watakuwa washauri wake???

Kama unaongelea ubora wa Zitto kuna ulazima gani wa kubomoa wengine?? Mnyika, Wenje, Sugu n.k wanaingiaje kwenye hoja ya umahiri wa ZK??

ZK talk to your boys: hakuna haja ya kukutetea acha hiki kimbunga kitulie then come out humbly na waeleze viongozi wenzio yote unayoyajua kisha kubali ushauri wao na maamuzi yao.....

Usifanye kosa la kutoshughulikia jambo hili maana linaweza kutulia lakini mark my words, litakuandama siku za usoni na wapinzani wako watalitumia kama kuna siku umetapata fursa ya kugombea uongozi wa juu iwe kwenye chama ama kwingineko....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom