Mtakaoishi hadi 2050 hii neema kwenu

Mtakaoishi hadi 2050 hii neema kwenu

geophysics

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
904
Reaction score
167
t1larg.sonic.star.jpg
Concord wanakuja na kitu kipya... Kwa dege hili Dar es salaam dubai au dar Heathrow International Airport si zaidi ya dakika arobaini na tano: Source Race to be first with 'son of supersonic' - CNN.com
 
here is a catch: The plane is not due to take-off until 2050.
So about 40 years from now? Nice drawing by the way.
 
Zitakuwa za jeshi maana wakiziruhusu raia na magaidi wazimiliki itakuwa kasheshe maana hata mig itakuwa ngumu kufatilia.
 
Kwaweli hizo ni hatari kabisa!...Lakini kitakachotisha zaidi ni bei za safari zake!
 
Sijui kama tuta- afford maana hiyo atc hivi sasa haina hata ndege moja sembuse kumiliki concord?
 
Am glad wameipeleka mbali huko....mkulu hataiwahi aslani....imagine 45 min uko New York huyu jamaa si atakuwa analala huko na kuja kazini asubuhi

t1larg.sonic.star.jpg
 
Tutabaki kuziona kwa wenzetu wenye akili zao
 
Ni kweli kabisa huyu mkulu wetu angekuwa analala New York ... Nimeipenda hii
 
Ain't quite sure about it's noisy,may be we can hear it even when we are 6 feets under...
 
Back
Top Bottom