Mtakaoishi hadi 2050 hii neema kwenu

Mtakaoishi hadi 2050 hii neema kwenu

40 ijayo dah,mbali sana,majaaliwa.Nauli nahisi itakuwa mkasi.
 
Am glad wameipeleka mbali huko....mkulu hataiwahi aslani....imagine 45 min uko New York huyu jamaa si atakuwa analala huko na kuja kazini asubuhi
t1larg.sonic.star.jpg
Teh teh..dah!wkend yangu imeanza vizuri..
 
Wacha nimpigie Magu aweke oda mapema tuzipate at least mbili
 
Mfumo wa elimu yetu unaitaj renovation kubwa sana..otherwise mambo kama haya tutakua tunayasikia kwa wenzetu tu..

Tuache mambo ya kusoma na kukalili na kufanya mitihan tuwekeze kwenye elimu ya uvumbuzi hii itatoa ajira nyingi na kutupa mwanga wa kuvumbua vitu vyetu...
 
Back
Top Bottom