Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

mkuranga IPI ina shamba la 700000??
 
au banda la chips nyakati za jioni anakomaa mwenyewe
na vipande vya kuku
humo humo chuoni
 
mkuranga ipi ina shamba la 700000??

mashamba ya laki 700,000/= mkuranga yapo kibao nje ya mjini km 20 toka hapa mkuranga mjini bupu, mbezi kimanzichana ndani, kisiju kuna sehemu nyingine wanauza hadi 500,000/= ndani ndani watu huku ndo wanalima matikiti na ufuta kibao
 
Duuh hii kiboko
 
Naombeni ushauri nina milion 5 naweza kuzifanyia kitu gani kwa mda mfupi ikazalisha or naomben mnipe ideal ya b'ness
 
Kama unapenda biashara tafuta sehem ya fremu nzur ya wastan na yenye nafasi kubwa kidogo kwa nje fungua duka la vifaa vya pikipiki tafuta na fund awe anatengenezea kwenye hio nafasi ya nje. Kwa kuanzia hicho kiasi kinatosha kabisa
 
location je?
 
Naombeni ushauri nina milion 5 naweza kuzifanyia kitu gani kwa mda mfupi ikazalisha or naomben mnipe ideal ya b'ness

Fungua duka la reja reja uza
vitu vinavyotumika kila siku hasa vyakula, vinywaji ,sopu ,betri,mafta taa,mshumaa,condom oa
Hutajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…