Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 452
Habari wandugu.!!
Mama yetu amestaafu na kufanikiwa kupata mafao yake tsh 150 million, katika hilo kachukua mil 50 na kuweka fixed deposite crdb, 20 kawekeza kwenye kumalizia nyumba yake mpya, 20 kagawa kwetu sisi watoto na matumizi mengine madogo madogo, mil 5 kanunua pkpk 2 zinazotumika kubebea abiria, So mil 50 anataka kuwekeza kwenye biashara kubwa ambayo itaweza kumjenga na kuondokana na hali ya utegemezi hapo baadae.
Je ni biashara gani anaweza kuifanya kwa maeneo haya alipo (Songea) ambayo haihitaji mambo mengi sana wala yasiyo magumu.
Baba alishafariki, watoto wa3 wa kikie na 1 kiume.